Nguvu ya akili katika maamuzi

Nimeipend
a hii thread naona wengi tunatumia hisia kwenye mazungumzo na mpaka kwenye maamuzi yetu hali hii inapelekea wengi tuwe na maamuzi ya upande mmoja na yasiyo sahihi(biased) angalia video hii nimefafanua from a psychological point of view
 
Kwa game ya sokoban kama umewahi kumaliza zote nakupa saluti.
Kwamaana mm nikijitahidi sana nimefika level ya 7 zile game ni ngumu sana.
Mkuu ukituliza akili vyema utaliweza ila at the sometimes unaweza hata ukachukia maana yanachanganya hayo
 
Mkuu ukituliza akili vyema utaliweza ila at the sometimes unaweza hata ukachukia maana yanachanganya hayo
Saizi huwa najitahidi kucheza game ya maze king. kwaajili kuifanyisha mazoezi akili yangu.
 
Kweli hiyo ndio maana halisi ya kutumia nguvu ya akili hata mtoto anavyo zidi kukua anakuwa anajua kila kitu lazima utumie nguvu ya akili.

Na mtoto kila anapo fanya kosa ukimpiga nayeye anavyo kuwa anakuwa anajua kila tatizo solution ni kupigana.
Umeonhea fact mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…