Nguvu ya Azam FC kwa Taifa Stars

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Kikosi kilichoanza ajana ni wachezaji wa wili tu ndio hawajawahi kuvaa jezi ya azam fc (Mkude na Nondo)

Walioingia sub ni moja tu ndio hana DNA na Azam fc nae ni fei Toto

Wachezaji regularly national team wanaotoka azam ambao Jana hawakucheza
Agrey Morris
Chilunda
Mudathir
Mwantika

Vile vile kuna wanaokuja vizuri
Novatus Dismas
Abdalah kheri.

Je, azam ni bora au makocha wanapenda azam?
 
Azam...tunahitaji Zaidi ya kusema yule alikua mchezaji wetu...chukueni kombe ligi kuu au hata ligi ya vijana aliyojimiliksha Mtibwa Sugar halafu ndo mje kutuambia mnachotuambia.
 
So what?
Hizo ni Sifa za kijinga.
Azam wacheze mpira ili wachuke vikombe. Hizo blah blah za kujivunia wachezaji ni mambo ya Simba ya Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…