NGUVU YA BAWACHA; Ushahidi kuwa CHADEMA imekita mizizi kila mahali nchini

NGUVU YA BAWACHA; Ushahidi kuwa CHADEMA imekita mizizi kila mahali nchini

Rasterman

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
33,894
Reaction score
44,117
Kitendo cha akina mama wa Chama cha demokrasia na maendeleo kuwa katika mstari wa mbele kupigania haki na utawala bora unaozingatia sheria na kayiba za nchi kimefikirisha wasomi, wanasiasa na wataalam wa maswala ya siasa nchini.

Tangu zamani inaaminika kuwa Ukimwelimisha mwanamke basi umefundisha Taifa zima.

Huu moto wa Bawacha ni heshima kubwa kwa viongozi wakuu wa chama na washauri wake. Tusubiri tuone fate yake.

Akina Mama Shupavu ndio nguvu ya taifa linalojielewa.
 
Ajiulize cdm imekuwepo lkn kuna walio jiapiza kuimaliza cdm lkn leo hii wote wapo kuzimu.
Kila siku wanasema Chadema imekufa lakini Cha ajabu mfu bado anawanyima usingizi.

Hivi vizee vya kijani vina matatizo makubwa Sana, viombe MUNGU visiwe hai siku yanapotokea mabadiliko ya utawala Chadema ikaingia madarakani hakuna ambaye hatachukuliwa hatua
 
Chama ambayo haijafa baada ya miltarization iliyofanya na Mwendazake hakuna namna utatoweka tena. Mi nadhani waivumilie tu kuishi nayo.
 
Back
Top Bottom