FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Typic ya watetezi wa Network marketing firms Forever Living!Sio kila kitu kwa ajili ya kila mtu, wengine uwezo wao ni mdogo, matokeo yake wanashindwa na kuishia walipoishia, wengine wamezaliwa haters hawa Huwezi wabadilisha ndio walivyo, na kubali tu matokeo.
Kwa hapa mkuu umeeleweka, binafsi nilikuwa naona chenga tupuHahah! Nah... haya ninayoandika na yale nitakayoandika ni maoni yangu 100% na nataka niandike maoni yangu binafsi kwa 100% ili kulinda credibility yangu.
Kama nilivyoeleza haya matukio ni halisi kabisa... nadhani baadhi ya wanafunzi wa kwanza kabisa kusoma pale kwa Onatario wanaweza kutoa ushuhuda namna ambavyo walivamiwa na mitutu ya bunduki na ofisi nzima kuwekwa chini ya ulinzi.
Labda tu kitu ambacho wengi watakuwa hawajui ni role ambayo nilihusika behind the scenes.
Hata nilivyofika pale Oysterbay Police kulikuwa na wasaidizi wa ofisi wa Ontario kama wanne hivi lakini sidhani hata kama walinitambua mimi ni nani.
Nimeanza na kisa hiki na baadae kuoanisha na tukio la George Soros kwa sababu huko mbeleni kuna kitu nitakuja kukiongelea kuhusu hii biashara hapa Tanzania na kitu ambacho hata wanaoifanya naamini hawakijui.
Sitaki kwenda direct, nimeanzia huko mbali ili kujenga msingi mzuri tuelewane na nisionekane kwamba namuaharibia Ontario. Nitaandika ule ukweli ambao nimeujua binafsi baada ya upekenyuzi wangu.
Stay tuned chief...
Hata mimi sijui, ngoja nifanye utafiti kidogo. Sarcastic common..Forever living ndo nini hiyo?
The bold
Vizuri kaka.
Ingawa mi si muumini wa biashara za aina hii, lakini nitafurahi sana kama utakuwa muwazi kuelezea hii biashara.
Nasema hivi kwasababu kuna mtu ananilalamikia kwamba anajuta kuijua biashara hii, alikopa mkopo benk kwaajili ya kumalizia nyumba yake lkn alipo ona thread ya Ndugu Ontario ikabidi ajiunge kusaka mahela mengi.
Lkn lilichotokea ni kulalamika kila saa kuwa pesa zake zimepotea huko.
Nilichogundua kwa jamaa ni kutojua undani wa biashara hii, alifanya biashara ambayo haijui,.
Hivyo nitapenda sana mnapo washawishi watu humu waelezeni ukweli, nje ndani ili kuendelea kuaminika kwenu.
Nashukuru kwa makala hii, mimi ni msomaji mzuri wa makala zako
Game ya watu smart kama wale akina nani sijui waliokuwa wanatapeli wata GNLD na foreverliving huku misukule mnaowavutia kuingia kwenye hiyo biashara wakiishiwa kuliwa na kichanganyikiwa? Muwe na huruma na watz wenzenu, achenickabisa kuwashawishi,please. Kama mnapiga pesa pigeni kimya kimya.(kama kula / kuliwa mliwe wenyewe).Unaamini kama mtu yoyote anaweza akawa profitable trader akifanya juhudi ya kuifahamu hii biashara kwa kusoma na kufanya mazoezi sana?
Binafsi naelewa kwamba kuna propaganda nyingi sana market makers wanazitumia kuwafanya traders wengi wasiwe consistently prifitable traders japo inawezekana usiathirike na propaganda ukiwa vizuri" from neck up"
Nafahamu pia kuna mengine ya behind the scene ambayo wanaohusika ktk uendeshaji wa Fx wanatumia kutengeneza hela na wengine wanapoteza Ila wanapoteza kwa kutokuwa na uelewa na kupenda mteremko.
Mwisho fx ni simple but not easy,hii ni game ya watu smart na wenye bidii ya kujielimisha bila kuchoka.
Wewe ni mtoto mdogo sana huwezi kuelewa na kuona vitu vya kimataifa vinavyojadiliwa na wakubwa zako,wewe level zako ni kwenye uzi wa kupeana likesPumba tu. Sijaona point yoyote hapa!!!
Hao GNLD na Forever living naichukulia kama ponzi scheme.Game ya watu smart kama wale akina nani sijui waliokuwa wanatapeli wata GNLD na foreverliving huku misukule mnaowavutia kuingia kwenye hiyo biashara wakiishiwa kuliwa na kichanganyikiwa? Muwe na huruma na watz wenzenu, achenickabisa kuwashawishi,please. Kama mnapiga pesa pigeni kimya kimya.(kama kula / kuliwa mliwe wenyewe).
Mnawachukuliaje watu wa GNLD na Forever Living Products?
Ww unataka utagiwe ..duhunitag boss
Huoni ni rahisi zaidi kuacha kuwashawishi wanajf kuliko kuwaingiza mtegoni halafu baadae mnawalaumu kwamba hawakusoma vitabu? Please acheni, huu si ubinadamu bali ni unyama. Jamiiforums inageuka kuwa kichaka cha kuwekeana mitego na kufilisi wanachama wa JF with the full knowledge ya moderators.Sasa nani kawashawishi kuingia wakat watu waliambiwa wasome vitabu tangu siku ya kwanza na vitabu viliwekwa tangu uzi wa kwanza wa ontario vitabu visivyopungua 5 na kwenye vitabu kila kitu kimeelezewa humo alafu anaenda kukopa bank na kuja kulalamika kwako, wakat hakuna mahali kwenye vitabu wanasema ukakope uje kufanya biashara.
Forex na MLM zina kitu kimoja incommon. Zote zinapromise pesa bila kuzalisha mali/ huduma. (Pesa za bure, ni kamari na upatu katika muonekano mpya.Hao GNLD na Forever living naichukulia kama ponzi scheme.
Huwezi fananisha financial market ya stocks,forex na forever living. Forex ni taaluma na ina vitabu vya kutosha ,inahitaji tu jitihada za kuifuatilia na kuifahamu.
Nafahamu kwamba kuna watu hawapendi wengine waifahamu hii biashara kwa sababu huwa haiwafurahishi wengine kufanikiwa.
Ila kwa nature ya biashara ilivyo wataoendelea kufanikiwa ni asilimia ndogo tu kwa sababu there more foolish buyers than foolish sellers and if fools went not to market bad wares would not be sold.
Si rahisi kutoathirika na propaganda za market makers ,you need to have balls of still.
Kama hujui maana ya Tag basi ww ni c2pdWw unataka utagiwe ..duh
mko wengi mnaotaka kutagiwa ...hv
faida ya kutagiwa ni nini?
Hakuna EASY MONEY kwenye forex HAKUNA SEHEMU KWENYE KITABU WALA SEHEMU SIR JEFF AMEANDIKA AU KUAMINISHA WATU KUNA EASY MONEY kwenye FOREX,Sasa nani kawashawishi kuingia wakat watu waliambiwa wasome vitabu tangu siku ya kwanza na vitabu viliwekwa tangu uzi wa kwanza wa ontario vitabu visivyopungua 5 na kwenye vitabu kila kitu kimeelezewa humo alafu anaenda kukopa bank na kuja kulalamika kwako, wakat hakuna mahali kwenye vitabu wanasema ukakope uje kufanya biashara.
Sawa mkuu ngoja utagiwe.Kama hujui maana ya Tag basi ww ni c2pd
Wivuuuuu[emoji1]Acha kupumbazwa wewe.
Ana trade wapi, mwambie adondoshe hapa recent trading history yoyote.
Akiweka nakunya hapa Kariakoo Sokoni mchana huu.
Mkuu umeongea jambo la maana sana, Watanzania walio wengi wanataka mafanikio ya haraka haraka, Kuna dogo aliingia kwenye FOREX na dola 50, anaendelea vizuri sana wengi hawafuatii taratibu na hawatimuu risk stratergy zinazotakiwa, tamaa inawafanya waunguze akaunti, Biashara ni uvumilivu.
Hizi ndio zile tactics za 'REVERSE PHYSCHOLOGY' zilizokuwa zinatumika na matapeli wa foreverliving; Mnawachukuliaje watu wa GNLD na Forever Living Products?Hakuna EASY MONEY kwenye forex HAKUNA SEHEMU KWENYE KITABU WALA SEHEMU SIR JEFF AMEANDIKA AU KUAMINISHA WATU KUNA EASY MONEY kwenye FOREX,
Sasa ni kwanini mnatumia nguvu nyingi sanankuwengesha wa JF kwa wale madalali wa Forex pale JANGID huku mkijua uwezekano wa kupata hizo pesa za bure ni 20% tu? Huku si ndio kurogana huku?Hiyo biashara ya FX sio ya kitoto,
kwanza lazima uwe na akili kichwani mwako
ukiwa tutusa lazima ulie ....kimsingi ni asilimia
20 to ya trader wote wanaopata faida
ukitaka kufanikiwa lazima uwe na noleji ya kutosha
kwa jinsi ninavyowafahamu wtz ...ambao wengi ni wavivu
wa kujisomea na kusaka maarifa .....hii biashara haiwafai.
Duuh..., huu ushuhuda umelipwa shs.ngapi kuja kuuweka hapa? Eti "nikahudhuria training ya forex", ulihudhuria kwa Ontario pale JANGID? Hahahahah; na hii storycya pc na simu kuisha chaji si mara ya kwanza naisikia, Hizi shuhuda tulizoea kuziona kwa wale matapeli wa foreverliving, hakuna jipya.Ila si kitu kizuri ku-lure watz wenzako into a trpa, iys not fair, anaweza akaja kuingia ndugu yako akaliwa,na ukapata mzigo wa kumlea, be careful. Mnawachukuliaje watu wa GNLD na Forever Living Products?Mkuu wangu upo sahihi Kabisa...mm mwenyewe nfanya Forex na nilianza baada ya Ontario kuweka Uzi wake hapa na kutoa muongozo na vitabu....nilijifungia kama miezi miwili nikasoma sana tena sana....nikaelewa Kuhusu hii Biashara.
Nukahudhuria training ya Forex..nikafungua live account na kuifund kwa dollar 300..nikaanza kutrade chini ya muongozo wa mentor. Mara nyingi nilikuwa sirade pair za mentor maana nilijihaminj sana kuwa Nina uwezo wa Kufanya analysis mwenyewe na kuexecute trade na nikamake money...na kweli nikaenda vzuri sana kwa week Mbili za mwanzo maana nilipandisha ile dollar 300 mpaka dollar 2600....hii inaweza kutokuaminika kwa wengi lakini ndo ukweli wenyewe.
Basi nikataka kutoa dollar 600 ili jijipongeze ila wakati anafanya muhamala wa kutoa hyo 600 nilikuwa na trades zinaruna na nilikuwa kwenye loss...broker si wabaya kama tunavoaminishwa maana nilipigiwa simu na broker wangu akaniambia kwa loss uliyonayo kwenye hz trades ambazo zinarun tukitoa hyo $600 account yako itaungua..kwa hyo akanishauri niache kwanza mpaka hzo trades zianze kurun kwenye profit ndo niombe kutoa hyo $600 au nikishafunga hzo trades basi nisfungue nyingine mpka hyo muhamala wa 600$ uwe umekamilika halafu ndo niendelee kutrade.
Ikabidi niwe mpole nikasubiri mpaka trades zikamake profit nikafunga naaccount ikawa ina jumla ya $2900..basi kidume nikaomba kutoa $900 na ikawezekana kwa hyo account ikabaki na $2000.
Nikaanza tena kutrade Ilikuwa siku ya ijumaa...kwa hyo mpaka soko linafungwa usiku wa ijumaa nilikuwa na faida ya $200 ila sikufunga trades zangu nikasema nakomaa nazo mpakajumatatu soko likifunguliwa ndo nitafunga kwani price ilikuwa haijafika kwenye zone ambayo nilikuwa ni profit target yangu.
Jumatatu kwenye soko likafunguka poa Kabisa na price ikawa inaelekea kwenye target yangu...ilipofika kwenye target nilikuwa na profit ya $530...sijui ni shetani gani alinipitia nikasema hiinkitu inaenda break zone kwa hyo sifungi ngoja nihold ili nimake pesa zaidi. Mambo hayakwenda kama nilivyotarajia basi price ikaanza kurudi nikajipa moyo kuwa hii inaretrace kidogo tu na baadae itaendelea kwenda upande wangu.
Kosa nililofanya ambalo lilikuja nigarimu sana nilianza kuchase market kwa hyo jinsi price ilivokuwa inaretrace nikawa naendelea kufungua trades nyingine zaidi...narudia tena sijui hyo siku ni shetani gani alikuwa upande wangu..ile Daudi ya $530 ikaisha kwa hyo trade zikaanza kurun kwenye loss..loss ikazidi kuwa kubwa mm bado nafungua trades tu najipa moja kuwa hii kitu inaenda kurudi upande wangu muda si mrefu...siku hyo Umeme hukuwepo maeneo ninayokaa kwa hyo computer sikuweza kutumia nilikuwa natumia simu na mm Kufanya analysis kwenye simu huwa siwezi...baadae simu ikakata moto Umeme kurudi nilipowasha computer sikuamini nilichokiona ila account ilikuwa imeungua na nilikuwa nimebakiwa na 0.7$ kwa account yangu. Nilijilaumu mm mwenyewe ile account kuingia maana nisingefanya ule ujinga wa kuchase market hakika ile account isingeungua maana price iliretrace mpaka zone ya juu kidogo na ikaendelea kwenda upande wangu tena...kwa hyo nisingrongeza trade wala nisingeunguza account. Nashukuru Mungu nilikuwa nimeshatoa mtaji wangu na faida ya $600. Nilichokifanya nikaenda tena kufund account yangu kwa $150 nikaanza tena kutrade..ndani ya siku 8 account ilikuwa na $700 nikatoa $200 nikaendelea tena nikaipandisha tena mpaka 750$ nikatoa tena $200..
Nikaendelea nikaipandisha tena mpaka $800...nikataka kutoa $300 moyo ukakataa ukaniambia endelea kutrade...siku hyo kulikwa na fundamental new ya CAD...kwa hyo nikatrade GBPCAD...kitu kikaenda upande wangu..nikawa naongeza trades kila kitu kinapoendelea kuelekea upande wangu...mpaka price inafika kwenye target zone yangu nilikuwa na profit ya kama $1000+ kwa hyo nikawa na jumla ya $1900 kwenye account yangu...nikatoa tena $900. Nikasema sasa hii 1000$ iliyobaki ndo mtaji wangu kila kitakachokuwa kinapanda juu yake natoka.
Nikaanza tena kutrade siku hyo nikafungua trades zaikaenda upande wangu poa Kabisa kutokana na analysis niliyokuwa nimefanya...Risk management haikuwa nzuri sana kwani nilikuwa nataka niidouble account kwa siku hyo, kwa hyo kwa muda mfupi tu nikajikuwa Nina faida ya $400+ nilikuwa natrade GBPAUD sell....sijui nn kilitokea bwana ghafla GBP ikapata nguvu ya ajabu....kitu nikaanza kwenda kinyume na mm ila nkajipa moyo kuwa itaturi tu....faida yote ikaisha nikaanza kutembelea loss...Mara mtaji unaanza kukatika ilipofika nimebaki na $150 nikasema hii account inaenda kuingia kwa hyo nikafunga trades zote account ikabaki na $150.
Nikaanza tena kutrade nikaipandisha ile $150 mpaka $500 nikatoa tena $200 nikaendelea kutrade nikafanya tena makosa yale yale ya kutokuwa Makini kwenye RM nikaunguza ile $300 yote. Nikaenda kuweka tena $100 nikaipandisha mpaka $230 nikawa mroho sikuzingatia RM nikaiunguza tena.
Nimeandika haya yote kwa nn...ninachotaka kasema ni kwamba Forex ni Biashara nzuri kama ukipata training Kutoka kwa mtu sahihi na wewe mwenyewe uwe mtu wa kujielimisha sana..nimeunguza account Mara tatu ila siwezi mlaumu yoyote kutokana na hzo account kuungua na kumlaumu ni mm mwenyewe maana kuna wakati nilikuwa nafanya vitu amabvyo havitakiwi Kufanya kwenye Forex trade.
Forex trading is all about kuwa na knowledge stahiki.....kuwa na mentor anajua anachokifanya na above all RM ni kitu muhimu sana kwenye Forex trade...usiwe na account sisimizi unaweka lot size tembo hakika utaunguza account hilo wala halina mjadala.
Ninachomshukuru Mungu ni kwamba Mara zote naunguza account sijawahi kuingia mfukoni kwenda kufund account yangu hela iliyoungua niliipata huko huko kwenye Forex na faida nilipata pia. Kwa sasa nimesimama kidogo kutrade mpaka mwezi wa kwanza mwakani ndo nitaanza tena kama mungu akinifikisha.
Narudia kama RM yako iko on point ni nadra sana kuunguza account ila ukiendekeza uroho kwenye Forex hakika Forex itakuchambua kama karanga.