Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Asante tunakupata mkuu,uzi wako si tu ni darasa bali pia unatupunguzia stress maana kuna watu wanatoa mapovu,utafikiri chanzo chake ni huu uzi kumbe ni mambo mengine sema wamepata mahali pa kuyashushia tu.
 
The Bold, sihutii kuwepo JF kea sababu ya uwepo wako..

Napata madini mengi na chakula cha ubongo kupitia maandishi yako.

Hapa Bongo waandishi wangu bora ni Wewe The Bold na Mkuu mmoja anaitwa Luqman Maloto. Nyie vichwa hatari sana
Shukrani sana chief...
Am humbled [emoji120]
 
Natamani kila mwanaJF aisome hii comment [emoji122] [emoji122]
 
I salute you The bold!

Mkuu, naomba uwe unani-tag kwenye maandiko yako.

Ni wachache wanaoandika vitu vya kufikirisha na kuvutia kuendelea kuvisoma.

Hongera!
Shukrani chief... pia subscribe kwenye uzi and follow me kwa urahisi zaidi
 
Asante tunakupata mkuu,uzi wako si tu ni darasa bali pia unatupunguzia stress maana kuna watu wanatoa mapovu,utafikiri chanzo chake ni huu uzi kumbe ni mambo mengine sema wamepata mahali pa kuyashushia tu.
Hahahahah kabisa chief... kuna watu walikuwa na vihoro vyao rohoni vimewajaa sasa wamepata kwa kutapikia. But its all good...
 
Tag prof.
 
Wengine Chief pasi ndefu wee endelea utuunge mkono
 
Mimi niliposema haya RRONDO akaniita hater, sasa na wewe subiri kuitwa hater humu
Hater....kwani wangapi wamepinga humu sijawaita hater? Wewe tone yako moja kwa moja ilionesha una kitu na huyu jamaa! Kwasababu direct ulienda kumu-attack yeye as if ana-seek attention. Anyway thread kama hii imefika hapa ilipo kwa watu kama wewe na wengine wanaofikiri vingine. Nothing personal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…