Sawa nenda kafungue danguro, as long as it makes money.., u don care..Wengine we don’t kama ni kamari au vip
As long as inaleta hela kwetu ina-make sense
Eti nasikia wao wandownload tunyie watu wa forex mbona sioni mahali wateja wananunua hizo pesa zenu au mna trade kivipi mbona kama mnacheza na algorith ambazo wahuni wameziweka ili mpigwe pesa zenu
nyie watu wa forex mbona sioni mahali wateja wananunua hizo pesa zenu au mna trade kivipi mbona kama mnacheza na algorith ambazo wahuni wameziweka ili mpigwe pesa zenu
Sawa nenda kafungue danguro, as long as it makes money.., u don care..
Mkuu achana na mamburula..ukiangalia kwa umakini uandikaji wake tu ni wale wenye itikadi kali..eti wamezuiwa kufanya biashara ya forex kwa imani ya dini yao!(angalia neno "haramu")..Hawachelewi kulalamika kuwa wanabaguliwa kwa kila kitu..Tatizo ni elimu..Forex inahitaji kichwa..wataweza kufanya fundamental au technical analysis hao!..acha wapige porojo ..wataendelea kupiga miayo ya njaa!Wewe endelea kusubiri sadaka wacha tuendelee kucheza kamari na ndio sisis tunawanyanyasa kwenye viwanja vikubwa mnanunua fanta mnalamba lamba ila sie pesa za FX tunakunywa vitu vya ukweli. Shenz sana
Haha ha haha[emoji23][emoji23][emoji23] hee utajiri wa muda mfupi sijui nilikua naota nini.
Kama ulivyo wewe mkuu?Mkuu dunia hii mambo yapo wazi sana siku hizi,
Fanya utafiti wako tu kuhusu forex,
Kuna vitabu na websites kibao zinaeleza hii habari,
Sasa tutakushangaa kama utashindwa ku-digest na ku-emulsify halafu unataka kuleta hoja zisizoeleweka
Am sorry huenda wewe ni shoga
Mkuu heshima kwako.Mbele daima, nyuma mwiko.
Tuko pamoja chief
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Padri Mcharo ...Keep it down man!!!!!...know wat ** FLY will not get into a Closed MOUTH**
nikukonda tu kimawazo kiasi kwamba kila anayeleta hoja yakutaka kuelezea upande wa pili wa hiyo forex anaonekana kuwa nihater...afadhali umemuuliza hivyo may be anaweza kurejea ktk kutumia kichwa kufikiri ..maana maneno yke nikama vile ameyapa makalio kutenda majukumu ya kichwa chakeMkuu kwani hao haters wanakuzuia nini wewe kuwa mfuasi wake? Haters wanaleta ugumu gani kwako kupokea mafundisho ya jamaa au hata wakati wa kujichotea mapesa?
wife wangu kapewa kitengo TMT .wadhani mimi nitafanya nini sasa .Mkuu uko vizuri, nimekuelewa sana uchambuzi wako
Namkubali sana The Bold tangu ameweka bandiko mbili hapa za forex bado anazunguka tu mbuyu na mbwembwe kibao
hahaaaa watu mnavisa....hahaaaaKwaiyo inawezekana hata mgambo ajapitia mkuu? Ila mikwara mingi [emoji2] [emoji1]
Sasa hapo nn kimekufikirisha?Napenda vitu kama hivi vya kufikirisha na tafakuri za kibabe. Hongera the bold