prince john john
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,184
- 3,369
Kuna watu mmebarikiwa sana kufafanua mambo... UbarikiweSwadakta kabisa umenena vyema
Sio inawezekana, Forex ni outright kamari; usilinganishe na soko la hisa ambapo watu huwekeza pesa zao kwenye kampuni ambayo inajihusisha na uzalishaji mali/ utoaji huduma mbalimbali, ambapo kwa kufanya hivyo hutengeneza faida halali na kuigawanya faida hiyo baina ya wanahisa. Kamari huwa haihusishi uzalishaji mali/ huduma yoyote ile, mfano mzuri ni Forex.Inawezekana ni kamali inategemea na unaiona kwa mtazamo upi...hata ununuzi wa hisa inaweza kuwa ni kamali kwa mtazamo wako sababu unazinunua kutegemea zipande upige hela....but all in all it's all about money making...regardless
Walioongoza kwann?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hata makampuni yanapata hasara na wanahisa wanaishia kupoteza pesa zao....Ulizia kampuni ya Reginald Mengi NICOL wanahisa walivyopata hasara...Sio inawezekana, Forex ni outright kamari; usilinganishe na soko la hisa ambapo watu huwekeza pesa zao kwenye kampuni ambayo inajihusisha na uzalishaji mali/ utoaji huduma mbalimbali, ambapo kwa kufanya hivyo hutengeneza faida halali na kuigawanya faida hiyo baina ya wanahisa. Kamari huwa haihusishi uzalishaji mali/ huduma yoyote ile, mfano mzuri ni Forex.
Sio inawezekana, Forex ni outright kamari; usilinganishe na soko la hisa ambapo watu huwekeza pesa zao kwenye kampuni ambayo inajihusisha na uzalishaji mali/ utoaji huduma mbalimbali, ambapo kwa kufanya hivyo hutengeneza faida halali na kuigawanya faida hiyo baina ya wanahisa. Kamari huwa haihusishi uzalishaji mali/ huduma yoyote ile, mfano mzuri ni Forex.
Mkuu unafahamu banks zetu hapa hapa bongo zinafanya overnight forex business achilia mbali overnight lending? Na hii inahusisha mpaka BOT ambaye ni regulator na lender of last resort?Sio inawezekana, Forex ni outright kamari; usilinganishe na soko la hisa ambapo watu huwekeza pesa zao kwenye kampuni ambayo inajihusisha na uzalishaji mali/ utoaji huduma mbalimbali, ambapo kwa kufanya hivyo hutengeneza faida halali na kuigawanya faida hiyo baina ya wanahisa. Kamari huwa haihusishi uzalishaji mali/ huduma yoyote ile, mfano mzuri ni Forex.
Kupata hasara/faida hakuondoi mali/ huduma zilizozalishwa in the process, kamari haizalishi mali/ huduma yeyote ile.hata makampuni yanapata hasara na wanahisa wanaishia kupoteza pesa zao....Ulizia kampuni ya Reginald Mengi NICOL wanahisa walivyopata hasara...
Kupata faida/ hasara hakuondoi mali/ huduma zilizozalishwa in the process; kamari haina uzalishaji mali/ huduma. Bureau de change wanatoa huduma ya kukubadilishia pesa, si kamari, maana wananunua kwa bei ya chini kuliko wanayouza ili ile tofauti ndio iwe malipo kwa huduma wanayotoa, hii si kamari. Kupata hasara/ faida ni sehemu ya biashara yeyote ile.1. wewe hujawahi kusikia kampuni lako unaloliita linatengeneza faida mkagawana kwamba kuna mwaka lilipata hasara mkapata dividend 0.00?
2. wewe huwa unafikiri hao wanaopata hasara kwenye makampuni unayoyaita ya uzalishaji wanakuwa wehu au hawajui kabisa kuhusu mambo ya hisa mpaka wapate hasara?
3. unakubali kuwa bureau de change ni biashara isiyo ya kamari?
4. kwa mtazamo wako hizo hela za forex huwa unafikiri zinakwenda wapi kufanya nini kama sio kwenda kufanya production kwa wenye kampuni zenye kuzihitaji.
6. KWA TAARIFA YAKO MABENKI YOTE HAPA NCHINI YANAFANYA BIASHARA YA FOREX NA NDIO BIASHARA INAYOWALETEA FAIDA KUBWA. hii sio siri wala uchochezi. mabenki yana watumishi walio dedicated to kufanya forex trading kwa ajili ya hayo mabenki.
5. kwa taarifa yako wanaoendesha hizo kampuni za uzalishaji kama unavyoamini wanapiga hesabu ya inputs zote pamoja na taxes halafu wanaangalia kama revenue itaipita amount ya input ili waone kama watapata faida katika mazingira ya biashara wanayoifanya. wakiona kodi itakuwa kubwa kuliko revenue hawaendelei, wanaacha. kwenye forex kitu hicho hicho ndicho kinachofanyika. ukiona kuna mazingira ya kupata hasara unaacha.
Wewe una chuki tu na walio na ufahamu wa kufanya forex trading na hujui hata kitu kimoja. kwanza huna hata uwezo kidogo wa kuchambua hata vitu vidogo. sijui kichwa hicho unakifanyiaga nini
Hata kama malaika Gabriel nae anafanya Forex, haibadilishi fact kwamba Forex ni kamari.Mkuu unafahamu banks zetu hapa hapa bongo zinafanya overnight forex business achilia mbali overnight lending? Na hii inahusisha mpaka BOT ambaye ni regulator na lender of last resort?
Mie nimeunguza usd 160 hadi sasa. Lkn kadri siku zinavyo kwenda ndo naipends forex. Subiri nikusanye nguvu, ntatusua. Kwa sasa najisomea na kujielimisha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpaka codename(Kuunguza akaunti) unajua maana ake lazma ushafanya forex na ukakurupuka ukaungua ndio maana unalia lia me sijawaichoma kitu naish kwa faida pole sana sasa nimekujua kumbe ulikua Forex man ukaungua kwa ela za Shemeji.
Achana naye.hata makampuni yanapata hasara na wanahisa wanaishia kupoteza pesa zao....Ulizia kampuni ya Reginald Mengi NICOL wanahisa walivyopata hasara...
Ha ha maneno kama ya faiza. Kichwa amefugia nywele tu na mdomo wa kula vitu isivyo tafta1. wewe hujawahi kusikia kampuni lako unaloliita linatengeneza faida mkagawana kwamba kuna mwaka lilipata hasara mkapata dividend 0.00?
2. wewe huwa unafikiri hao wanaopata hasara kwenye makampuni unayoyaita ya uzalishaji wanakuwa wehu au hawajui kabisa kuhusu mambo ya hisa mpaka wapate hasara?
3. unakubali kuwa bureau de change ni biashara isiyo ya kamari?
4. kwa mtazamo wako hizo hela za forex huwa unafikiri zinakwenda wapi kufanya nini kama sio kwenda kufanya production kwa wenye kampuni zenye kuzihitaji.
6. KWA TAARIFA YAKO MABENKI YOTE HAPA NCHINI YANAFANYA BIASHARA YA FOREX NA NDIO BIASHARA INAYOWALETEA FAIDA KUBWA. hii sio siri wala uchochezi. mabenki yana watumishi walio dedicated to kufanya forex trading kwa ajili ya hayo mabenki.
5. kwa taarifa yako wanaoendesha hizo kampuni za uzalishaji kama unavyoamini wanapiga hesabu ya inputs zote pamoja na taxes halafu wanaangalia kama revenue itaipita amount ya input ili waone kama watapata faida katika mazingira ya biashara wanayoifanya. wakiona kodi itakuwa kubwa kuliko revenue hawaendelei, wanaacha. kwenye forex kitu hicho hicho ndicho kinachofanyika. ukiona kuna mazingira ya kupata hasara unaacha.
Wewe una chuki tu na walio na ufahamu wa kufanya forex trading na hujui hata kitu kimoja. kwanza huna hata uwezo kidogo wa kuchambua hata vitu vidogo. sijui kichwa hicho unakifanyiaga nini
Kupata faida/ hasara hakuondoi mali/ huduma zilizozalishwa in the process
si kamari, maana wananunua kwa bei ya chini kuliko wanayouza ili ile tofauti ndio iwe malipo kwa huduma wanayotoa, hii si kamari. Kupata hasara/ faida ni sehemu ya biashara yeyote ile.
Hata kama malaika Gabriel nae anafanya Forex, haibadilishi fact kwamba Forex ni kamari.
Usipate shida ,kuna sense yangu moja inaniambia huyo ni trader wa forex na global financial market kwa upana wake,ila hakutegemea kama kuna siku itafika watanzania wengine wataifahamu ,na ninachokiona ni kuwa hajapenda watanzania ambavyo wanaanza ielewa hii biashara kwa sababu anazozijua yeye mwenyewe.Basi una matatizo makubwa sana kuliko tulivyofikiria na kwa hili mimi naungana na wewe aisee. kweli forex ni Kamari na wacha watu waendelee kucheza Kamari iitwayo forex. idiot
Mbona mnahangaika na huyo mwendawazimu alieingia Forex kichwa kichwa kwa hela ya kukopa akafanya gambling akablow akaunti kwa sasa amejaa hasira tu. Don't give him any more attention maana Forex anaifahamu ila imemshinda. Masikini wengi wana roho mbayaangalia point no.4 ambapo nimejaribu kukudokeza hizo pesa huwa zinaenda kufanya nini. hizi hela ni zinaenda kwenye pool au kikapu kikubwa ambamo wanaohitaji kuziinvest wanaenda kukopa na kufanyia biashara na kurudisha faida. ni wazi hicho unachoita huduma hapa zimepatikana kutokana production iliyoletwa na fedha "zilizonunuliwa" kutoka katika kikapu chenye fedha iliyouzwa na wenye hizo fedha. nimekuambia kuwa wanaoingiza fedha zao na kutrade kwenye forex wakiwa wanaujuzi wa kutrade hawabaatishi na wao hupata hasara kwa sababu ya mazingira ya soko yakienda tofauti na walivyofikiri yatakuwa.kwa mfano wanajua kuna uhaba wa pound sterling uingereza nao wanamjua mwenye hizo paundi wanamwambia tuuzie kwa bei fulani ili nawe ukauze kwa mwenye kuhitaji kule UK. kama bei utakayouziwa ni kubwa kuliko utakavyolipwa na muhitaji wa UK unaacha, na ikiwa italipa unanunua na kwenda kumuuzia mwenye kuhitaji kule UK. sasa hii biashara inashirikisha wengi wanaoweza kuchuuza fedha na kuikusanya kwenye kikapu ili wale wanaohitaji waje kununua ila sasa (and get this into your thin head) mambo haya yanafanyika kwa makompyuta na communication ya internet. umeelewa?
Kamari haifanyiki hivi. Kamari unaweka hela halafu hujui mwenye kushinda atakuwa nani unategemea bahati tu. unaweza kuweka ManU itashinda halafu inafungwa na hakuna sababu ya msingi ya kufungwa wakati wameweka kikosi cha kwanza. umeona winning streak ya Man city juzi ilivyovunjwa, juzi wamechana mikeka mingi ya watu.
nimesema una tatizo la kutojua forex mechanism ni nini. tumekuambia hata benki kuu ya Tanzania BOT inafanya forex trading sasa wangekuwa na akili ndogo kama yako wangewezaji kuwa wanacheza Kamari na fedha ya walipa kodi. mi nafikiri hapa unatutania. huwezi kuwa na akili ndogo hivyo. uliza watu wa finance hata wanachuo tu wa mwaka wa pili pale ifm finance au hata wa Bcom watakwambia jinsi unavyotia huruma
Umevuna milion ngapi ww hadi sasa?Mbona mnahangaika na huyo mwendawazimu alieingia Forex kichwa kichwa kwa hela ya kukopa akafanya gambling akablow akaunti kwa sasa amejaa hasira tu. Don't give him any more attention maana Forex anaifahamu ila imemshinda. Masikini wengi wana roho mbaya