Kwa wale ambao mnasema forex ni kamari, let me tell you something guys, Kama umebahatika kusoma module inaitwa Statistics and Probabilty ukiwa katika elimu ya juu, basi kuna aina mbili za coins ambazo hutumika kufanyia experiment.
Aina hizo ni;
(1) Fair coin
(2) Weighted coin.
Tukianza na fair coin, hapa probability ya kupata head au tail ni 50%/50% ikiwa utaithrow on air
Kwa weighted coin, probability ya upande mmoja ni lazima iwe kubwa kuliko ya upande mwingine, sababu weight ya ile coin haiko evenly distributed. So you maye find P(H)=0.9 while that of tail ni P(T)=0.1 or viseversa.
Sasa basi tukija katika hizi financial markets, zenyewe zinawork under weighted coin and rules zinamfavour investor kama tu atakachokuwa anakifannya kitakuwa ni sahihi na ndio maana mtu anaweza akatrade mara 10, akawin mara 8 na kuloose mara mbili tu...
Tukija katika hizi kamari mfano kama Casinos, nazo zinawork katika weighted coin lakini the difference ni kwamba the rules are favouring the house na ndio maana kuna usemi huwa unasema "Houuse always benefit"
Natumaini nimeeleweka.