Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Watu bwn! Sa we ulidhani hv vitu anavitoa kichwani? Kuitafuta tu hii story ya Soros akairelate na anachotaka kutuambia kuhusu forex nacho ni kipaji, then sio kila mtu anaeelewa lugha mzee, so sio kila sehem ucomment, link ushaipata kasome piga kimya
 
Plagiarism, umewahi kulisikia hili neno? Ku-acknowledge source unapo copy kazi ya mtu ni ustaarabu wa hali ya juu sana.
 
We mbona hukuweka,, binadamu bwanaaa, wivu utawaua jifunze kutoa credits binadamu hatuezi fanana jamaa yupo beyond your knowledge
Kwanini yeye hakutoa credits kwa huyo mtunzi mwenzake aliemcopy, hii ni plagiarism in every sense of the word, ku-acknowlege na kutoa credit pale unapocopy na kupaste kazi ya mtu ni wajibu.
 
TmT (ontario+cre) ni matapeli na malimbukeni wanatumia uvivu wa watanzania kutengeneza mamilioni
 
TmT (ontario+cre) ni matapeli na malimbukeni wanatumia uvivu wa watanzania kutengeneza mamilioni
mbn mnapambana kuwahaminisha watu hivyo..waacheni ..siyo vyema kwatita watu matapeli. Forex ipo..sema siyo lelemama
 
Usipoteze energy yako na haters

Kuna watu wameshaamua kuchukia(hate)
Hata leo uwafundishe na fimbo hawataelewa.
 
Kwa hiyo kwenye hisa ni profit tu ?
 
Kwa hiyo kwenye hisa ni profit tu ?
Biashara zote zina faida / hasara, ila zinafanya uzalishaji mali/ huduma in the process ya kupata hiyo faida / hasara; kamari haina uzalishaji mali/ huduma yeyote ile.
 
TmT (ontario+cre) ni matapeli na malimbukeni wanatumia uvivu wa watanzania kutengeneza mamilioni

hahahaha. Tunaiona hii dunia kwa namna tofauti sana. Wewe ukiona ni mavi(UCHAFU) mwingine anaona ni mbolea(PESA).
 
THE BOLD KAMA KUNA MTU ASIPOELEWA HAPA BASI KICHWA CHAKE KITAKUA KIBOVU SIO KIDOGO NASUBIRI WALE WALIOKUA WANAPIGA KELELEEEEEEE WAJE HAPA UMEANDIKA VIZURI SANA UMEELEWEKA.
ukweli mm bado sijaelewa nahitaji kueleweshwa sijui mtaji ni kiasi gani na pia unaowauzia au watu wakufanya nao biashara ni kinan yaani bado nipo gizani
 
natamani unithibitishie kivipi utapeli huu unafanyika ili wote tuamini hoja yako.
1. Training Shallow ya masaa 10.
2. Swap+Spread kubwa ukianza kutrade.
3. Kulazimisha traders watumie JP Markets (ambao TMT wanapata commission kubwa).
 
Nimejifunza mengi mkuu Bold ubarikiwe sana, sikutaka kujihusisha na biashara hii awali nilihisi ni "gambling" kwa mtazamo wa imani yangu sio kitu sahihi kufanya (gambling", lakini kwa mitazamo hiyo nadhani sio gambling, sidhani kama nakosea nikifananisha na na vikoba na uwekaji wa hisa, ushauri wangu kama kuna nafasi ya kushare hizo literature za Forex online itatufaa sana hasa sisi tuliombali na miji yenye nuru kama Dar es salaam, Mwanza, Arusha, etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…