Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Hadi wewe bagamoyo ukawa unashadadia upumbavu huu ... Why
 
Kumbe wajinga mlikua wengi
 
Hadi wewe ukaingiaga mkenge aisee 😃😃
 
Hii thread yake nitasoma kila episode, nimejitahidi sana kusoma kuhusu FOREX nakosa muda ila mtiririko huu nitajitahidi kusoma ila kwa mbali naona HITIMISHO LAKE.
Yaani pamoja na ujanja wako wooote, ukawa unashadadia huu upumbavu.

Haya sasa.. tuambie hitimisho lilikuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…