makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Nimeitikia wito mkuu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesoma hiyo paragraph ya utangulizi tu. Hivi ni akina nani hao walikupa maombi mengi ya kukutaka utie neno? Wewe kama umeamua kuandika kitu andika, sio utake watu waone kana kwamba unawafanyia fadhila kubwa au kana kwamba una umuhimu flani hivi..
Umenisahau kabisa...nimestuliwa na ntu mwingineeeee inboxPamoja chief
Nimesoma hiyo paragraph ya utangulizi tu. Hivi ni akina nani hao walikupa maombi mengi ya kukutaka utie neno? Wewe kama umeamua kuandika kitu andika, sio utake watu waone kana kwamba unawafanyia fadhila kubwa au kana kwamba una umuhimu flani hivi..
Stop hating....ana wasomaji wake wa makala anazonadika na hawa huwa wanaamini ana knowledge kubwa ya mambo fulani, hao hao ndio wameona ni vizuri akiwapa chochote anachojua kuhusu FOREX.Jamaa analeta ufala.
Anajifanya eti wadau walikua wanamsumbua aandike kuhusu Forex, ili tuone Jamaa mtabee kumbe Pumba tu.
Stop hating....ana wasomaji wake wa makala anazonadika na hawa huwa wanaamini ana knowledge kubwa ya mambo fulani, hao hao ndio wameona ni vizuri akiwapa chochote anachojua kuhusu FOREX.
Kwahio unaweza usiwe wewe au mimi ila wapo ambao wanapenda aseme chochote kuhusu jambo fulani.
Padri asiye na busara...Pumba tu. Sijaona point yoyote hapa!!!
Hii thread yake nitasoma kila episode, nimejitahidi sana kusoma kuhusu FOREX nakosa muda ila mtiririko huu nitajitahidi kusoma ila kwa mbali naona HITIMISHO LAKE.Exactly my sentiments.
Wamwache tu aandike.
Sioni tatizo kabisa.
Nilichoandika na ulichojibu vinaendana?Stop hating....ana wasomaji wake wa makala anazonadika na hawa huwa wanaamini ana knowledge kubwa ya mambo fulani, hao hao ndio wameona ni vizuri akiwapa chochote anachojua kuhusu FOREX.
Kwahio unaweza usiwe wewe au mimi ila wapo ambao wanapenda aseme chochote kuhusu jambo fulani.
Aisee nyie watu nyinyi....mnakuwa mnajua vitu fulani ila mnakaa navyo mioyoni mnaangalia tu raia wanatapatapa!Umenisahau kabisa...nimestuliwa na ntu mwingineeeee inbox
Nimesoma hiyo paragraph ya utangulizi tu. Hivi ni akina nani hao walikupa maombi mengi ya kukutaka utie neno? Wewe kama umeamua kuandika kitu andika, sio utake watu waone kana kwamba unawafanyia fadhila kubwa au kana kwamba una umuhimu flani hivi..; either way, ur gud at beating around the bush and never getting to the point.
200%.....HATING is an understatement.Nilichoandika na ulichojibu vinaendana?
Sijawahi, i had no clue mpaka ilivyoletwa humu.Mazee hujawahi kufanya hii makitu?
I’ve been doing it off and on since 2006!
It’s not all it’s cracked up to be and it’s not as bad as some may have you believe.
Jamaa analeta ufala.
Anajifanya eti wadau walikua wanamsumbua aandike kuhusu Forex, ili tuone Jamaa mtabee kumbe Pumba tu.