Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Wallahi wewe ni Pimbi.
Comment yangu ya kwanza kui quote umekuta nimeandika nini???
Au ili quote tu kuharakisha kwenda chooni.
Kaisome tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nkasome upuuzi wako nasubiri part 2 we f__a
 
Huyu The bold ana nguvu sana, nataka nikuambieni jamaa anaushawishi mkubwa sana Wa kalamu, huku ndo kwake waandish Wa habar za kidadis in weng mno ila huyu mzeyaa mwisho, hatuwezi kuzuia alichopewa tu na MUNGU, big upo bro nakufuatilia kimya kimya, sometimes nahis kama unatoa mwanga mambo ya kijajusi, big up mkuu
 
Nani aliyekwambia kwenye forex trading kuna neema tu?

Bofya hapo upate dozi ya uhalisia

Can Forex Trading Make You Rich?
Tatizo la mtanzania mwenzangu tangu hizi thread za forex zianzishwe wameichukulia hii biashara kama magic bullet ya utajiri kitu ambacho sio kweli. Labda kwa sababu wamekuwa wanalishwa matumaini makubwa kuwa hii ndiyo ile njia ya kuuaga umaskini. Nitaendelea kusoma huu mtiririko lakini nadhani nimeshaona mwisho wake utakuwaje
 
Uko sahihi kabisa.
Hii biashara siyo shortcut ya utajiri.
Najua watu wengi ambao walijaribu kuifanya na sasa wameshaachana nayo kabisa.
Some of us have known about this thing for a long time now.
 
The Bold japo wengine hatuna majina na hatufahamiki sana humu lakini tusisauliane katika utukufu kwenye tagging.
 
Back
Top Bottom