Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
MagumuMaisha
Wewe ilibidi Murillo akudake 🤣Bongo joto ni kali sana, kiasi kwamba ukiweka buku mfukoni ukitoa unakuta nyerere kavua shati.
Ingependeza unapendekeza akija anikute navunja sheria gani nyingine? ili tuhuma ziwe na kauzito kidogo...Wewe ilibidi Murillo akudake