Tawfiq 77
Member
- Jul 5, 2021
- 19
- 29
Baada ya hii mikutano ya No reforms No election inayoendelea nchi nzima nilichogundua uungwaji mkono kwa CHADEMA ni mkubwa mno zaidi ya uongozi unavyolichukulia..
Kwa maoni yangu kama chama kitajiwekea mikakati madhubuti ya ukweli na uwazi hiki chama kina uwezo wa kujiendesha bila pesa ya ruzuku wananchi wanakiunga sana mkono na ndio tumaini lao