Nguvu ya Diamond ndani ya Wasafi Media

Nguvu ya Diamond ndani ya Wasafi Media

Licha ya kutokuwa na majority share pale mjengoni, ni dhahiri kuwa Diamond Platnumz ndiye C.E.O na Managing Director (M.D)

Maulid Kitenge amenukuliwa mara kadhaa akimwita Mkurugenzi katika interview mbalimbali alizofanya pale kituoni.

Alimuweka Zuchu, Queen Darleen na hawa ntarejea katika wimbo wa Superwoman na ulifanywa chini ya prroducer wake lizer na zoom extra ambayo ni kampuni yake ilitengeneza video na yeye pia alikuwemo katika uimbaji na alihusika 100% katika utunzi pamoja na zuchu na wengi walioshiriki mle ndani ni watu wake wa karibu.

Tumeona jinsi Zuchu ambaye ni msanii wa WCB iliyo chini ya Diamond complete akitumika kakita uandaaji wa matangazo pale mjengoni.

Pia Mose Iyobo, dancer wake, amehusika katika kutengeneza matangazo.

Show zake zimekuwa zikirushwa live sawia na matukio mengine kama vile kutangaza kupata ubalozi, kutambulisha msanii mpya, kurusha vipindi vya mambo yake binafsi kama ile karatini na tour yake kwenye makao makuu ya FIFA.

Yawezekana katika 45% anazomiliki yeye kachangia jina tu pale la Wasafi na sio kwamba alishindwa kumiliki asilimia zaidi ya 50 ila mwekezaji mwingine asingeweza kumpa Diamond kauli ya mwisho wakati Diamond hana utaalam au uzoefu na masuala ya media kwa hakika angeweza kuharibu.

Maoni yangu; Kutumia hoja ya umiliki wa Wasafi Media kumponda mondi ni kipimo cha uwezo mdogo wa kuchanganua mambo ,ukosefu wa hoja na chuki binafsi

Tuache chuki wakuu, yaani media ikifeli utasikia lawama kwa Mondi ila ikifanya poa utasikia Mondi sio yake mara 'ooooh ye balozi tu pale' muachage chuki wakuu kumbuka bila Mondi hakuna Wasafi.

Proud to be Diamond Platnumz keep going hata waseme nii.
Wa TZ acheni roho mbaya Uzi wote huu likes 9 tu?..kwiii kwi kwiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atajijua mwenyewe, mie niko naburudika na kipindi cha SHOW OFF kutoka Kiba Media.
 
Licha ya kutokuwa na majority share pale mjengoni, ni dhahiri kuwa Diamond Platnumz ndiye C.E.O na Managing Director (M.D)

Maulid Kitenge amenukuliwa mara kadhaa akimwita Mkurugenzi katika interview mbalimbali alizofanya pale kituoni.

Alimuweka Zuchu, Queen Darleen na hawa ntarejea katika wimbo wa Superwoman na ulifanywa chini ya prroducer wake lizer na zoom extra ambayo ni kampuni yake ilitengeneza video na yeye pia alikuwemo katika uimbaji na alihusika 100% katika utunzi pamoja na zuchu na wengi walioshiriki mle ndani ni watu wake wa karibu.

Tumeona jinsi Zuchu ambaye ni msanii wa WCB iliyo chini ya Diamond complete akitumika kakita uandaaji wa matangazo pale mjengoni.

Pia Mose Iyobo, dancer wake, amehusika katika kutengeneza matangazo.

Show zake zimekuwa zikirushwa live sawia na matukio mengine kama vile kutangaza kupata ubalozi, kutambulisha msanii mpya, kurusha vipindi vya mambo yake binafsi kama ile karatini na tour yake kwenye makao makuu ya FIFA.

Yawezekana katika 45% anazomiliki yeye kachangia jina tu pale la Wasafi na sio kwamba alishindwa kumiliki asilimia zaidi ya 50 ila mwekezaji mwingine asingeweza kumpa Diamond kauli ya mwisho wakati Diamond hana utaalam au uzoefu na masuala ya media kwa hakika angeweza kuharibu.

Maoni yangu; Kutumia hoja ya umiliki wa Wasafi Media kumponda mondi ni kipimo cha uwezo mdogo wa kuchanganua mambo ,ukosefu wa hoja na chuki binafsi

Tuache chuki wakuu, yaani media ikifeli utasikia lawama kwa Mondi ila ikifanya poa utasikia Mondi sio yake mara 'ooooh ye balozi tu pale' muachage chuki wakuu kumbuka bila Mondi hakuna Wasafi.

Proud to be Diamond Platnumz keep going hata waseme nii.
Kiasi chake ina ukweli ila sio wote
 
Mleta mada, Diamond sio MD wala CEO ila ni muwekezaji mwenza ktk hio media,
hivyo kwa tafsiri nyingine ni moja ya Mkurugenzi katika bodi ya uongozi wa hio kampuni ( board of directors)

MD ni mtendaji mkuu ktk shughuli za kila siku za kampuni husika, ambaye mara nyingi anakuwa ni muajiriwa mwenye elimu, ujuzi na uzoefu ktk tasnia nzima ya habari kama vile Tido Mhando alivyo Azam Media.
Na MD anatoa reports za utendaji wake kwa hao wamiliki kina Diamond.

Hvyo Diamond ni ngumu kuwa MD kwakuwa hana sifa stahiki, pía huyu bwana tayari ana shughuli zake za muziki ambazo zinam-keep busy hvyo itamuwia vigumu kudeal with daily activities za hiyo media!!!

Hope tumeelewana!!!
Clearly stated,,, mtendaji ni lazima uwe na professional husika but BOSS/mmiliki sio lazima awe na professional, japo akiwa nayo it's an additional advantage
 
Back
Top Bottom