Nguvu ya Jemedari ndani ya Kamati za TFF inafurahisha

Joined
Jan 3, 2020
Posts
16
Reaction score
41
Jemedari Saidi ameupiga kelele sana mchezo wa Yanga na Namungo, akishinikiza TFF kumfungia Aucho kwa retaliation dhidi ya Ajibu.

Kwa namna ya ajabu TFF wakayafanyia kazi malalamiko ya Jemedari wakaacha kuuangalia mchezo mzima.

Max Nzengeli alifanyiwa tukio ambalo halikuadhibiwa na TFF au hata Refa kulitolea kadi lakini lile la Aucho ambalo lilitolewa kadi na refa ndio wamelifanyia kazi!

 
Jemadari ni mbangaizaji tu, wanaomwamini ndo hawana akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…