Nguvu ya Kukaa kimya

Msaidie atoke
Ila usimuamini. + Kaa mbali na yeye
 
Hivi hii Karma imeandikwa kwenye kitabu gani? Sijawahi kabisa kuisoma popote.
 
Hivi hii Karma imeandikwa kwenye kitabu gani? Sijawahi kabisa kuisoma popote.
Karma Haina kitabu na Wala haipo sehemu haionekani na Haina sura huji dhihirisha kwa matendo

Karma ninguvu ya kiasiri isiyo onekana Ila inatenda
Nikama mwangwi sauti uitoayo ndiyo ikuludiayo

Siwezi ielezea kwa undani Sana. Ila Nina amini Akina mshana Jr they can
 
Wewe umeijuaje? Umefundishwa wapi au umeisoma wapi?
 
Ulikuwa mvumilivu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…