Nguvu ya Maamuzi juu ya Maisha Yako ya Kitajiri hapa Duniani

Nguvu ya Maamuzi juu ya Maisha Yako ya Kitajiri hapa Duniani

Lakini mku, si kil mtu anataka kuwa mfugaji.

Katika zama jizi kuna maeneo mengi ya ujarisimali na hayo yanatofautiana kwenye startup Capital.

Hivyo mtu anaweza kuwa na ideas nyingi lakini akawa anakwama hapo - wapi atapata mtaji.

Mfano tu ni duka la kawaida tu la rejareja je linahitaji mtaji kiasi gani?
Huo amekupa mfano to, sio lazima ufuge kuku, sasa kawaulize hao wenye maduka ya rejareja walianzaje, me kuna ndugu yangu alianzia mtaji wa karanga za buku jero, sasa hivi mtaji Wake ni zaidi ya million 40, na anamiliki assets nyingi tu, me hadi najiona nilienda shule kupoteza muda tu
 
Kikubwa n malengo tu. Mfano huku kitaa kuna dogo alianza kukodisha baiskel baadae akanunua nyingne tena na nyingne baadae boda boda ndio zikawa dili akauza baiskel zote akanunua bodaboda hiv tunavyoongea anaboda boda zaid ya kumi so kila jion anapokea malengo yaan ni boss. Sema shida ya wasomi watanzania ni uoga,dharau ya kaz na kupenda sana bata.
 
Kweli sayoo , tunatakiwa kuanzia chini na kupanda kidogo kidogo.
 
Kikubwa n malengo tu. Mfano huku kitaa kuna dogo alianza kukodisha baiskel baadae akanunua nyingne tena na nyingne baadae boda boda ndio zikawa dili akauza baiskel zote akanunua bodaboda hiv tunavyoongea anaboda boda zaid ya kumi so kila jion anapokea malengo yaan ni boss. Sema shida ya wasomi watanzania ni uoga,dharau ya kaz na kupenda sana bata.

Nashukuru sana ommy15 . Wadau tufanye MAAMUZI sasa achana kabisa na masuala ya kufikiria mpaka uwe na mtaji wa milioni 10 eti ndio unaweza angalau ukaanza biashara, SIO KWELI HATA KIDOGO.
 
Solo la kuku liko juu , tufuge kuku. Siku hizi ukizungumzia ujasiria mali basi ni kufuga kuku.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Nakuunga mkono ndugu. Shida ya yetu vijana ni uoga na kutotumia akili. Mara ya kwanza hata mm nilikuwa nafikiri kwamba mtaji ndio kitu cha kwanza lakin baada ya struggle za kutosha nmegundua kwamba shida ni wazo la utafanya nini,wapi, na nani, lini na kwa muda gani. Mfano mm nikiwa na digrii yangu nilifanyakazi ya ukondakta wa daladala hii baada ya kutafuta ajira bila kupata. Na kila siku nilkuwa sikosi kusave 30,000/ na kila wkend nlkuwa naweka benk sio chin ya 200,000/. Sasa kuna wasomi wangap wanachagua kaz na hawana kazi zaid ya kulia hakuna ajira hakuna mtaji
Mkuu hongera huu ndio uthubutu sasa
 
  • Thanks
Reactions: SDG
The Power of Thinking Big, But Starting Small

How did Google manage to come out of nowhere? And how did it grow to reach $58 billion in annual revenues in 2013 — all in under two decades?

There are many explanations for the company’s phenomenal growth. But one technique small businesses can learn from is the ability to think big, yet take small steps. Here’s how it works.

In a post from Google’s Think Insights, Google’s former Senior Vice President of Adwords and AdSense, now Senior Vice President at YouTube, Susan Wojcicki explains. The process starts with the company’s Eight Pillars of Innovation. One of those pillars, says Wojcicki, is “think big, act small.”

This means the company may have big ambitious goals. But it starts to achieve those goals by taking small steps, one at a time.

Wojcicki writes:

“No matter how ambitious the plan, you have to roll up your sleeves and start somewhere. Google Books, which has brought the content of millions of books online, was an idea that our Founder, Larry Page, had for a long time. People thought it was too crazy even to try, but he went ahead and bought a scanner and hooked it up in his office. He began scanning pages, timed how long it took with a metronome, ran the numbers and realized it would be possible to bring the world’s books online. Today, our Book Search index contains over 10 million books.”

Can you imagine a billionaire scanning book pages? It seems an unlikely picture. But, with that kind of attitude, it’s not hard to see how Google has grown so big and so fast.

Do you have big goals in your business? Do they seem unimaginably far away and hard to obtain? Well, all you need to do is start one step at a time.

Rohit Arora, CEO and Co-Founder of Biz2Credit, tells us the key to achieving any resolution is to set small goals.

Rohit explains:

“Setting a goal of 50 percent growth in a year is noble, but it can be daunting. A smarter way is to plan smaller, more manageable and less overwhelming growth rates for each month of the year. By the time next December rolls around, the overall increase for the year may indeed be closer to the target.”

Start with where you want your business to be next month. You may be surprised at the results.

SOURCE : https://smallbiztrends.com/2014/03/think-big-act-small.html
 
Nashukuru sana ommy15 . Wadau tufanye MAAMUZI sasa achana kabisa na masuala ya kufikiria mpaka uwe na mtaji wa milioni 10 eti ndio unaweza angalau ukaanza biashara, SIO KWELI HATA KIDOGO.
Pia kuna kitu watu bado hatujui kwamba hakuna biashara inayohitaji mtaji mdogo mfano biashara ya karanga unaweza kuwekeza hata milion mia ila swal unaanzia wapi ndio hapo. Pia kuanza biashara na mtaji mkubwa sio nzuri coz kama ni biashara ya vitu vyanyumba ambavyo vinaweza kuxpire hapo unawezajikuta umejumua vitu ambavyo mwaka mzma kwenye dazan haujauza hata pisi moja lakin ukianza na mtaji mdogo utakulazimisha kujumua vitu vinavyotoka haraka hivyo kuwa na mzunguko mkubwa so siku ukipata mtaji mkubwa e.g 10 mil utajua bidhaa ambazo zntembea i.e FMCG
 
Hapo kwenye nyekundu hapo, umenena mkuu! Biashara inawezekana tu pale utakapokuwa tayari una wazo na ukafanya MAAMUZI ya kuianza tena kwenye level ya chini kabisa.
 
Kwa kifupi wasomi wetu sio waoga ni wanaona AIBU ajiuliza yani tuliokuwa nao chuoni wanikute nauza mafenesi au mitego ya panya aaaaaaaah wapi bora njaa iniue hapo sio uoga ni aibu

Huu uwoga wetu unatupeleka pabaya mkuu. Tujitoe ufahamu kwa kipindi fulani ili tuone je maisha yatabadilika au itakuwa vile vile. Tumeishi kwa kuunga unga kwa kipindi kirefu na bado hakuna mabadiliko kihivyo basi na tufanye UAMUZI wa kufanya kwa nguvu zetu yale ambayo tumekuwa tukifikiria kuyafanya kwa ajili ya maisha bora ili tuone kama kutakuwa na utofauti au la. TUANZE SASA
 
Kwa kifupi wasomi wetu sio waoga ni wanaona AIBU ajiuliza yani tuliokuwa nao chuoni wanikute nauza mafenesi au mitego ya panya aaaaaaaah wapi bora njaa iniue hapo sio uoga ni aibu
Kuna jamaa siku alikuwa anaomba ushauri humu kuhusu mradi wake wa kuuza mboga mboga. Akatokea bwege mmoja anayeona kuvaa tai ofisini ni siafa akaanza kumponda akaanza kumwambia yaani wewe graduate mzima uuze mboga mboka akwa anaaapa kwamba akimkuta jamaa mtaani atamkana kisa anauza tu mboga mboga..Yaani kuna mtu anaona kuuza mboga mboga si hadhi yake.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mkuu, nakuelewa sana lakini tatizo linabakia palepale, MTAJI.

Ukitaga kuwa mfugaji unahitaji MTAJI

Ukitaka kuwa IMPORTER au EXPORTER wa aina yoyote ile, unahitaji MTAJI.

Ukitaka kuanzisha duka la rejareja, supermarket, car wash centre, berber shop, unahitaji MTAJI.

Kbla ya hapo unahitaji BUSINESS PLAN

Ukiwa huna hata TIN numba unahitaji kujiandikisha na pia biashara isajiliwe kule BRELA.

Hivyo mtu kam ayupo kazini anahitaji extra mile kufanya uamuzi wa kuwa na biashara ya pembeni kwanza kabla ya kuacha ajira rasmi.

Hivyo inahitajika MKAKATI au Strategy kabla ya kuamua kuwa mjasirimali na pia akiba ya kutosha hata kama unaamua tu kwamba liwalo na liwe utoke kwenye ajira, yaani uwe na AKIBA YA KUTOSHA BENKI.

Hii akiba ya kutosha benki haihusiani na MTAJI wa biashara unaoutafuta.
kwa mantiki hiyo huwezi acha kazi, na hakuna mda mwafaka wa kusema sasa nimepata vya kutosha niache hii 9-5 job, ndo maana tunasema risk taking. kingine tunachelewa sana kuanza ujarisiliamali mtu anapokuwa na majukumu yamemtinga ndo anagundua mshara hautoshi jambo ambalo unatakiwa ulijue tangu upo darasa la pili. ukishabanana we baki nakibarua mpaka mwajiri atakapokupa mkono wa kwa heri ukaanze upya life la kitaa.
 
Mkuu, shida yetu waTz ndio iko hapo. Tunafikiri kuwa na mtaji kwanza baada tu ya kufikiria wazo la kufanya na kushindwa kuanza jambo kwa kisingizio cha mtaji. Sikatai kabisa ya kwamba kufanya hayo yote yanahitaji mtaji, lakini je ni lazima kuanza kwa ukubwa huo?. mfano mdogo tu kwenye hilo la kuku wa kufuga

kabla sijaanza kufuga kuku, nilifikiria ni jinsi gani nitapata pesa kwa ajili ya kununua wale kuku 10 wa kuanzia. Je nimefanya jitihada gani kuhakikisha napata ile TZS 20,000 ya kununulia wale kuku 10 wa kuanzia na kumwomba jirani yangu achanganye na wale wake na mimi kujitoa kufanya usafi kwenye mabanda yake kuhakikisha wanakua na kuzaaa matunda niliyoyatarajia?. Hapa ndipo wengi tunapoanzia kufeli
Mkuu mi tatizo si wazo la MRADI AU AINA NA UBUNIFU WA MRADI AU ENEO LABKUUFANYIA HUO MRADI AU BIASHARA BALI NI MTAJI TUU MKUU!!!!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Uthubutu ndo njia rahis ya kufika unakokutaka.Niwarakie kila la kheri vijana wenzangu wabangaizaji mtafanikiwa tu
 
Back
Top Bottom