Huo amekupa mfano to, sio lazima ufuge kuku, sasa kawaulize hao wenye maduka ya rejareja walianzaje, me kuna ndugu yangu alianzia mtaji wa karanga za buku jero, sasa hivi mtaji Wake ni zaidi ya million 40, na anamiliki assets nyingi tu, me hadi najiona nilienda shule kupoteza muda tuLakini mku, si kil mtu anataka kuwa mfugaji.
Katika zama jizi kuna maeneo mengi ya ujarisimali na hayo yanatofautiana kwenye startup Capital.
Hivyo mtu anaweza kuwa na ideas nyingi lakini akawa anakwama hapo - wapi atapata mtaji.
Mfano tu ni duka la kawaida tu la rejareja je linahitaji mtaji kiasi gani?
Huo amekupa mfano to, sio lazima ufuge kuku, sasa kawaulize hao wenye maduka ya rejareja walianzaje, me kuna ndugu yangu alianzia mtaji wa karanga za buku jero, sasa hivi mtaji Wake ni zaidi ya million 40, na anamiliki assets nyingi tu, me hadi najiona nilienda shule kupoteza muda tu
Kikubwa n malengo tu. Mfano huku kitaa kuna dogo alianza kukodisha baiskel baadae akanunua nyingne tena na nyingne baadae boda boda ndio zikawa dili akauza baiskel zote akanunua bodaboda hiv tunavyoongea anaboda boda zaid ya kumi so kila jion anapokea malengo yaan ni boss. Sema shida ya wasomi watanzania ni uoga,dharau ya kaz na kupenda sana bata.
Solo la kuku liko juu , tufuge kuku. Siku hizi ukizungumzia ujasiria mali basi ni kufuga kuku.
thanx mkuuHaaaa haaaa, ila ujasiriamali upo mwingi sana mkuu sema ni sisi tu wenyewe. Hatupendi mahangaiko yaani kiufupi, tunataka vile vitu ambavyo tayari vimeshaandaliwa na sio sisi kuviandaa.
Mkuu hongera huu ndio uthubutu sasaNakuunga mkono ndugu. Shida ya yetu vijana ni uoga na kutotumia akili. Mara ya kwanza hata mm nilikuwa nafikiri kwamba mtaji ndio kitu cha kwanza lakin baada ya struggle za kutosha nmegundua kwamba shida ni wazo la utafanya nini,wapi, na nani, lini na kwa muda gani. Mfano mm nikiwa na digrii yangu nilifanyakazi ya ukondakta wa daladala hii baada ya kutafuta ajira bila kupata. Na kila siku nilkuwa sikosi kusave 30,000/ na kila wkend nlkuwa naweka benk sio chin ya 200,000/. Sasa kuna wasomi wangap wanachagua kaz na hawana kazi zaid ya kulia hakuna ajira hakuna mtaji
Mkuu hongera huu ndio uthubutu sasa
Pia kuna kitu watu bado hatujui kwamba hakuna biashara inayohitaji mtaji mdogo mfano biashara ya karanga unaweza kuwekeza hata milion mia ila swal unaanzia wapi ndio hapo. Pia kuanza biashara na mtaji mkubwa sio nzuri coz kama ni biashara ya vitu vyanyumba ambavyo vinaweza kuxpire hapo unawezajikuta umejumua vitu ambavyo mwaka mzma kwenye dazan haujauza hata pisi moja lakin ukianza na mtaji mdogo utakulazimisha kujumua vitu vinavyotoka haraka hivyo kuwa na mzunguko mkubwa so siku ukipata mtaji mkubwa e.g 10 mil utajua bidhaa ambazo zntembea i.e FMCGNashukuru sana ommy15 . Wadau tufanye MAAMUZI sasa achana kabisa na masuala ya kufikiria mpaka uwe na mtaji wa milioni 10 eti ndio unaweza angalau ukaanza biashara, SIO KWELI HATA KIDOGO.
Pia kuna kitu watu bado hatujui kwamba hakuna biashara inayohitaji mtaji mdogo mfano biashara ya karanga unaweza kuwekeza hata milion mia ila swal unaanzia wapi ndio hapo. Pia kuanza biashara na mtaji mkubwa sio nzuri coz kama ni biashara ya vitu vyanyumba ambavyo vinaweza kuxpire hapo unawezajikuta umejumua vitu ambavyo mwaka mzma kwenye dazan haujauza hata pisi moja lakin ukianza na mtaji mdogo utakulazimisha kujumua vitu vinavyotoka haraka hivyo kuwa na mzunguko mkubwa so siku ukipata mtaji mkubwa e.g 10 mil utajua bidhaa ambazo zntembea i.e FMCG
Kwa kifupi wasomi wetu sio waoga ni wanaona AIBU ajiuliza yani tuliokuwa nao chuoni wanikute nauza mafenesi au mitego ya panya aaaaaaaah wapi bora njaa iniue hapo sio uoga ni aibu
Kuna jamaa siku alikuwa anaomba ushauri humu kuhusu mradi wake wa kuuza mboga mboga. Akatokea bwege mmoja anayeona kuvaa tai ofisini ni siafa akaanza kumponda akaanza kumwambia yaani wewe graduate mzima uuze mboga mboka akwa anaaapa kwamba akimkuta jamaa mtaani atamkana kisa anauza tu mboga mboga..Yaani kuna mtu anaona kuuza mboga mboga si hadhi yake.Kwa kifupi wasomi wetu sio waoga ni wanaona AIBU ajiuliza yani tuliokuwa nao chuoni wanikute nauza mafenesi au mitego ya panya aaaaaaaah wapi bora njaa iniue hapo sio uoga ni aibu
kwa mantiki hiyo huwezi acha kazi, na hakuna mda mwafaka wa kusema sasa nimepata vya kutosha niache hii 9-5 job, ndo maana tunasema risk taking. kingine tunachelewa sana kuanza ujarisiliamali mtu anapokuwa na majukumu yamemtinga ndo anagundua mshara hautoshi jambo ambalo unatakiwa ulijue tangu upo darasa la pili. ukishabanana we baki nakibarua mpaka mwajiri atakapokupa mkono wa kwa heri ukaanze upya life la kitaa.Mkuu, nakuelewa sana lakini tatizo linabakia palepale, MTAJI.
Ukitaga kuwa mfugaji unahitaji MTAJI
Ukitaka kuwa IMPORTER au EXPORTER wa aina yoyote ile, unahitaji MTAJI.
Ukitaka kuanzisha duka la rejareja, supermarket, car wash centre, berber shop, unahitaji MTAJI.
Kbla ya hapo unahitaji BUSINESS PLAN
Ukiwa huna hata TIN numba unahitaji kujiandikisha na pia biashara isajiliwe kule BRELA.
Hivyo mtu kam ayupo kazini anahitaji extra mile kufanya uamuzi wa kuwa na biashara ya pembeni kwanza kabla ya kuacha ajira rasmi.
Hivyo inahitajika MKAKATI au Strategy kabla ya kuamua kuwa mjasirimali na pia akiba ya kutosha hata kama unaamua tu kwamba liwalo na liwe utoke kwenye ajira, yaani uwe na AKIBA YA KUTOSHA BENKI.
Hii akiba ya kutosha benki haihusiani na MTAJI wa biashara unaoutafuta.
Mkuu mi tatizo si wazo la MRADI AU AINA NA UBUNIFU WA MRADI AU ENEO LABKUUFANYIA HUO MRADI AU BIASHARA BALI NI MTAJI TUU MKUU!!!!Mkuu, shida yetu waTz ndio iko hapo. Tunafikiri kuwa na mtaji kwanza baada tu ya kufikiria wazo la kufanya na kushindwa kuanza jambo kwa kisingizio cha mtaji. Sikatai kabisa ya kwamba kufanya hayo yote yanahitaji mtaji, lakini je ni lazima kuanza kwa ukubwa huo?. mfano mdogo tu kwenye hilo la kuku wa kufuga
kabla sijaanza kufuga kuku, nilifikiria ni jinsi gani nitapata pesa kwa ajili ya kununua wale kuku 10 wa kuanzia. Je nimefanya jitihada gani kuhakikisha napata ile TZS 20,000 ya kununulia wale kuku 10 wa kuanzia na kumwomba jirani yangu achanganye na wale wake na mimi kujitoa kufanya usafi kwenye mabanda yake kuhakikisha wanakua na kuzaaa matunda niliyoyatarajia?. Hapa ndipo wengi tunapoanzia kufeli
Mkuu mi tatizo si wazo la MRADI AU AINA NA UBUNIFU WA MRADI AU ENEO LABKUUFANYIA HUO MRADI AU BIASHARA BALI NI MTAJI TUU MKUU!!!!
Hapo ndo penye changamoto,ila huu uzi ni SHULE,unajitahid kuelekeza na unaeleweka.Sasa Mkuu,hebu weka wazzo lako mezani tuone kama hatutalipatia sehemu ya kuanzia...!