Nguvu ya Makamu wa Rais na CDF zimefanikiwa Kuipandisha Ligi kuu Mashujaa FC na kuwazidi Spika wa Bunge na Mbunge Mstaafu Mbeya Mjini

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mechi ile ya Nusu Fainali baina ya Simba na Yanga iliyofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika Mkoani Kigoma na Kujaa hadi Pomoni huku Hamasa ikiwa Juu ilitosha sana Kuwaambia TFF kuwa iwe isiwe ni lazima kwa Msimu huu Kigoma itoe Timu Ligi Kuu ili wakapige Pesa nyingi kwakuwa wanajua Waha hawana shida katika Kulipa (Kununua Tiketi) kutokana na Asili yao ya Ushamba na Upimbi mwingi tu.

Watani zangu Waha mpo? Kazi ipo!!!
 
Andazi na chai ya rangi linatafunika pia , Iphone zipo ila ukiwasha ni android hapa hapa stand
 
Mechi ile ya Nusu Fainali baina ya Simba na Yanga iliyofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika Mkoani Kigoma na Kujaa hadi Pomoni huku Hamasa ikiwa Juu ilitosha sana Kuwaambia TFF kuwa iwe isiwe ni lazima kwa Msimu huu Kigoma itoe Timu Ligi Kuu ili wakapige Pesa nyingi kwakuwa wanajua Waha hawana shida katika Kulipa (Kununua Tiketi) kutokana na Asili yao ya Ushamba na Upimbi mwingi tu.

Watani zangu Waha mpo? Kazi ipo!!!
ha ha
 
Mbeya city waliingiza siasa kwenye mpira.

Kulikua mpasuko ndani ya Timu VIONGOZI na wachezaji waligawanyika pande mbili.

Upande wa CCM Na upande wa CHADEMA.

SUGU NA TULIA WAMEUA MBEYA CITY.
 
Back
Top Bottom