Aiseeeee!! Kwa make-up hizi tunapigwa sana.
Kijijini au wale wadada/wanawake wasiohangaika na make-up ndio wazuri hasa. Muda wote huwa wanapendeza. Hawa wa mawigi ya Kihindi ni shida tupu.
Asubuhi ukionana naye bila make- up anatisha na unaweza piga chini mzigo.
Unakuta ana rangi 3 au 4 za soda mwilini, yaani pepsi, fanta orange, supaleta, mirinda,stoney tangawizi n.k. kwa sababu ya kuweka puti kwenye miili yao.
Hawajui kuwa hizo puti zina madhara mwilini au?
Dada/mama zetu tunaomba mjiamini. Mungu hakukosea katika uumbaji wake.