komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Wakenya ni watu wenye roho nzuri sana ukitoa mambo mengine ya hapa na pale yanayoletwa na nguvu za siasa.
Wananchi wenye uwezo wao kenya huaga wanataka sana kusaidia watu wa tabaka la chini lkn tatizo channel zilizowekwa na serekali yetu pendwa kuna majitu yamejikalia kufuja hzo hela hadi kuwatia roho mbaya watu walioko na niya kusaidia.
Inabidi sasa wanahabari wetu sana sana wanatumika kama channel ya kuwapata watu wa chini ili angalau wasaidike kupitia na documetary zao.
Mama aliyewapikia mawe wanawe sai anafurahia maisha kutokana na wasamaria wema.