Nguvu ya mikono yako kwenye mustakabali wako...

Nilikua siamini kwamba ipo siku shetani anaweza kukwambia bwana yesu asifiwe
Tofauti na wengi wanavyodhani..kanisani ni kiwanja cha nyumbani cha Shetani a.k.a Lucifer a.k.a Nyota ya Asubuhi (jina ambalo pia ni maarufu kwa Maria mama wa Yesu Kristo ...what a coincidence).
Hata katika biblia shetani kacheza sana katika anga za Yesu na Hekalu takatifu la Wayahudi
 
Tufafanulie hili Mkuu

'Kuachilia Toba.......'

Tafadhali na Asante
 
Nakufuatulia sana mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mikono yako isilegee

Jr[emoji769]
 
Mikono yako iwe imara.. Kiroho na kimwili pia

Jr[emoji769]
 
Hii ungeiunganisha hapo juu kwenye Uzi ungekuwa poa sana!
Naomba kuongeza
Mithali 10;4
Afanyaye mambo kwa mkono mlegevu huwa masikini, Bali mkono wake aliye na bidii humtajirisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…