Nguvu ya Mitandao ya Kijamii: Posti za miaka 6 iliyopita zamnyang'anya followers, zamkwamisha kushiriki Miss South Africa 2020 miss Bianca Schoombee

haya ni maoni yako na usiandike kwa hisia za kila mtu....ubaguzi wa aina yoyote sanaa wa rangi auwezi kumuishia mtu katka mashindano haya huenda akapewa dhamana ya uongozi je unaisi atakua na haki sawa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haya ni maoni yako na usiandike kwa hisia za kila mtu....ubaguzi wa aina yoyote sanaa wa rangi auwezi kumuishia mtu katka mashindano haya huenda akapewa dhamana ya uongozi je unaisi atakua na haki sawa...

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa kua ni ubaguzi na imekugusa ndiyo imekuuma? Mtu si kabadilika au? Nyie ndio hua mnajifanya kupreach mungu kila siku alafu hamuwezi kumsamehe mtu kwa kitu alichofanya utotoni. Teenagers wanafanya mambo mengi ya kijinga hawajui consequences zake zikoje, angefanya wakati ana miaka 25 ningesema kweli racist, ila ujinga alioufanya utotoni nikae ninamuhukumu leo?

Mnafikiria kwa ubongo au makalio? Viongozi wote duniani ni wasafi toka utotoni hakuna ujinga hata moja ambao waliwahi kufanya? 🤣
How about you live what you preach acha kunipotezea muda
 
taifa la Afrka kusin silo taifa la kupuuzia swala la ubaguzi wa rangi hata chembe... limeligarimu pabaya mnoo taifa hilo na ndo maana mifumo yao mtu awezi kua jaji mkuu mpaka asomewe mashtaka na ayajibu sana kupitia upinzani ....na akipatikana na vinyemelea vya ubaguzi wa rangi kazi anayo...kwaiyo Afrika kusini awataki kuongozwa na mtu alie na vinyemelea vya utesi ulio wagarimu....hata nyerere aliwai kusema ubaguzi ni sawa na simba kula nyama ya binadamu. aachi ..awezi kushindana na mashindano ya uzuri kama ni taji amesha shinda la ubaguzi wa rangi... avae hilo hilo..ridhaa amekosa kwa wapiga kura wake....over

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah! Ile post niliyoandika mwaka juzi kuhusu kuwa member wa CHAPUTA ngoja nikaifute kabsa . maana naweza kuwa pastor afu fala flani akaja akamwanga ugali wangu hivi hivi.
ww chaputa hicho chama international hapa tz makao makuu yake yapo buza kwa lulenge
 
Hii mitandao ni lazima uwe nayo makini maana utakachoandika kitabaki kwa miaka mingi ijayo.
 
Ndugu mtu akiwa Racist atakua hivyo miaka yote, ni chuki inapandikizwa tangu utoto, pia ungekaa sehemu zenye ubaguzi wa rangi ungeelewa hao raia wamejisikia vipi,

That bih got what she deserve.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Hao Wazulu na Waxhosha na wenyewe wabaguzi tu hadi wanaua kabisa... Yaani they deserve more than that.
 
Chibu hajamuona huyu mlimbwende kweli amuweke mimba?
 

I deleted parmanently my first twitter account

I deleted permanently my first twitter account for the same sibject. People are going to judge you from current affairs as well as the past ones. Lets teach our children who have an access to social media platforms to use them careful for the better days mbele ya safari yao, kinyume chake wanaweza kumiss fursa nzuri as we have witnessed from that miss RSA
 
Hao Wazulu na Waxhosha na wenyewe wabaguzi tu hadi wanaua kabisa... Yaani they deserve more than that.
Hii comment niliifuta baada ya kuona mchangiaji anachangia kwa jazba na matusi, lol

Ni kweli Wazulu na Waxhosa ni wabaguzi lakini huwezi kulinganisha ubaguzi wa rangi nyeupe kwa nyeusi, pia kwa waliyopitia hali ya ubaguzi kama WaSouth wanajua maumivu yake, kwa hiyo hawawezi kuvumilia vitendo vya ubaguzi dhidi yao.
 
Mimi ndio maana nilideactivate acc yangu ya facebook , insta pia nikafuta sasa natumia JF na twitter ambazo zote situmii majina yangu.

Mimi officially natumia whatsapp na quora tu..
Hizi social media zinaweza kukuaffect sana maishani kwa kujua au kutokujua..
Mfano.. juzi hapo twitter niliona post kwamba kuna jamaa mshabiki wa chelsea baada ya chelsea kuchezea kichapo cha maana kutoka kwa man u. Jamaa akapost kwamba kuanzia leo hashabikii mpira tena.
Akaja jamaa mmoja akareply kwenye ile post akamwambia 'utakua shoga wewe'
Naskia siku za mbele wakakutana kwenye interview kumbe yule jamaa wa chelsea ni mmoja wa wanaofanyisha interview.. guess what happened 😂😂.

Kama huna break kwenye vidole ukiwa unatype atleast usitumie jina lako wala picha zako. Thankme later
 
Kilichowakumba Tik Tok kutoka kwa Wahindi, nimejua social networks zina nguvu balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…