Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Technology ni hatari ndio inayomfanya kigogo kutojulikana na wa_Israel na TEETH.“Ogopa sana Mungu na Technology”
Rest Easy Ruge.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Technology ni hatari ndio inayomfanya kigogo kutojulikana na wa_Israel na TEETH.“Ogopa sana Mungu na Technology”
Rest Easy Ruge.
Sent from my iPhone using JamiiForums
haya ni maoni yako na usiandike kwa hisia za kila mtu....ubaguzi wa aina yoyote sanaa wa rangi auwezi kumuishia mtu katka mashindano haya huenda akapewa dhamana ya uongozi je unaisi atakua na haki sawa...Ni nguvu ya wajinga. Watu hubadilika, u can’t judge someone kwa kitu alichokifanya utotoni, that’s plain stupid. Unataka uniambie kuna binadamu ambaye toka anazaliwa hajawahi fanya kitu cha kijinga hata kimoja? We grow, we learn, we become better or worse than we were yesterday. Maisha ndivyo yalivyo. Huu upuuzi ndicho kitu kilinifanya nikadelete sns zote nikaanza upya
haya ni maoni yako na usiandike kwa hisia za kila mtu....ubaguzi wa aina yoyote sanaa wa rangi auwezi kumuishia mtu katka mashindano haya huenda akapewa dhamana ya uongozi je unaisi atakua na haki sawa...
Sent using Jamii Forums mobile app
How is the baby?#BiancaMustFall#,
That bi@@h was so mean and still she is.
Boost your Immune System to fight a Covid-19.
taifa la Afrka kusin silo taifa la kupuuzia swala la ubaguzi wa rangi hata chembe... limeligarimu pabaya mnoo taifa hilo na ndo maana mifumo yao mtu awezi kua jaji mkuu mpaka asomewe mashtaka na ayajibu sana kupitia upinzani ....na akipatikana na vinyemelea vya ubaguzi wa rangi kazi anayo...kwaiyo Afrika kusini awataki kuongozwa na mtu alie na vinyemelea vya utesi ulio wagarimu....hata nyerere aliwai kusema ubaguzi ni sawa na simba kula nyama ya binadamu. aachi ..awezi kushindana na mashindano ya uzuri kama ni taji amesha shinda la ubaguzi wa rangi... avae hilo hilo..ridhaa amekosa kwa wapiga kura wake....overKwa kua ni ubaguzi na imekugusa ndiyo imekuuma? Mtu si kabadilika au? Nyie ndio hua mnajifanya kupreach mungu kila siku alafu hamuwezi kumsamehe mtu kwa kitu alichofanya utotoni. Teenagers wanafanya mambo mengi ya kijinga hawajui consequences zake zikoje, angefanya wakati ana miaka 25 ningesema kweli racist, ila ujinga alioufanya utotoni nikae ninamuhukumu leo?
Mnafikiria kwa ubongo au makalio? Viongozi wote duniani ni wasafi toka utotoni hakuna ujinga hata moja ambao waliwahi kufanya? [emoji1787]
How about you live what you preach acha kunipotezea muda
Watu wamefukua hadi suti za Mzeebaba....Wafukua makaburi wapo kila sehemu[emoji28][emoji28][emoji28]
Dark Side
ww chaputa hicho chama international hapa tz makao makuu yake yapo buza kwa lulengeDaaah! Ile post niliyoandika mwaka juzi kuhusu kuwa member wa CHAPUTA ngoja nikaifute kabsa . maana naweza kuwa pastor afu fala flani akaja akamwanga ugali wangu hivi hivi.
Baby boy is doing fine and healthy and Baby mama is doing just fine.
Hao Wazulu na Waxhosha na wenyewe wabaguzi tu hadi wanaua kabisa... Yaani they deserve more than that.Ndugu mtu akiwa Racist atakua hivyo miaka yote, ni chuki inapandikizwa tangu utoto, pia ungekaa sehemu zenye ubaguzi wa rangi ungeelewa hao raia wamejisikia vipi,
That bih got what she deserve.
Boost your Immune System to fight a Covid-19.
You are welcome. Am glad to see that baby boy is doing fineBaby boy is doing fine and healthy and Baby mama is doing just fine.
Thanks for asking.
Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Ni nguvu ya wajinga. Watu hubadilika, u can’t judge someone kwa kitu alichokifanya utotoni, that’s plain stupid. Unataka uniambie kuna binadamu ambaye toka anazaliwa hajawahi fanya kitu cha kijinga hata kimoja? We grow, we learn, we become better or worse than we were yesterday. Maisha ndivyo yalivyo. Huu upuuzi ndicho kitu kilinifanya nikadelete sns zote nikaanza upya
Ni nguvu ya wajinga. Watu hubadilika, u can’t judge someone kwa kitu alichokifanya utotoni, that’s plain stupid. Unataka uniambie kuna binadamu ambaye toka anazaliwa hajawahi fanya kitu cha kijinga hata kimoja? We grow, we learn, we become better or worse than we were yesterday. Maisha ndivyo yalivyo. Huu upuuzi ndicho kitu kilinifanya nikadelete sns zote nikaanza upya
Hii comment niliifuta baada ya kuona mchangiaji anachangia kwa jazba na matusi, lolHao Wazulu na Waxhosha na wenyewe wabaguzi tu hadi wanaua kabisa... Yaani they deserve more than that.