LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,943
- 37,839
Muda si mrefu wasanii wa Bongofleva watasitisha utaratibu wa kuwaruhusu wasanii wa singeli kufanya singeli versions za nyimbo zao kwa sababu kila wakifanya, singeli version zinakuwa hit kuliko nyimbo original.
Mfano mzuri ni Wimbo " Kisa Salio" Wa Marioo. Dogo Sajenti na mwenzake Pateni wamefanya singeli version yake ambayo ndio Ina hit mitaani kinomanoma kuliko original version.
Salute kwenu Mdogo Sajenti na mwenzako Pateni. Mmeinyoosha hiyo ngoma.
# Tanzania nchi yangu.
# Singeli muziki wa nchi yangu.
# Kabudi waziri wangu.
# Singeli mbele kwa mbele