Umalaya lyricsMuda si mrefu wasanii wa Bongofleva watasitisha utaratibu wa kuwaruhusu wasanii wa singeli kufanya singeli versions za nyimbo zao kwa sababu kila wakifanya, singeli version zinakuwa hit kuliko nyimbo original.
Mfano mzuri ni Wimbo " Kisa Salio" Wa Marioo. Dogo Sajenti na mwenzake Pateni wamefanya singeli version yake ambayo ndio Ina hit mitaani kinomanoma kuliko original version.
Salute kwenu Mdogo Sajenti na mwenzako Pateni. Mmeinyoosha hiyo ngoma.
# Tanzania nchi yangu.
# Singeli muziki wa nchi yangu.
# Kabudi waziri wangu.
# Singeli mbele kwa mbele
Mkuu sikiliza na ile ngoma ya gospo ya safari ya wana wa isralaeli version ya singeli ni hatari sanaMuda si mrefu wasanii wa Bongofleva watasitisha utaratibu wa kuwaruhusu wasanii wa singeli kufanya singeli versions za nyimbo zao kwa sababu kila wakifanya, singeli version zinakuwa hit kuliko nyimbo original.
Mfano mzuri ni Wimbo " Kisa Salio" Wa Marioo. Dogo Sajenti na mwenzake Pateni wamefanya singeli version yake ambayo ndio Ina hit mitaani kinomanoma kuliko original version.
Salute kwenu Mdogo Sajenti na mwenzako Pateni. Mmeinyoosha hiyo ngoma.
# Tanzania nchi yangu.
# Singeli muziki wa nchi yangu.
# Kabudi waziri wangu.
# Singeli mbele kwa mbele
Ni hatari aiseeee singeli ni balaaMkuu sikiliza na ile ngoma ya gospo ya safari ya wana wa isralaeli version ya singeli ni hatari sana
Mimi nimeupenda singeli kwa sababu ya mademu zangu watoto wa elfu 2 wanapenda Sana singeliSijui kwanini sijawahi ielewa Singeli, ni bora nisikilize Taarabu, ila sio huo muziki.
Wanao sikiliza huo muziki, binafsi nawaona masela, mateja, na watu wa hovyo tyuuh.
Andika "waraka wa amani singeli" kisha sikiliza lete mrejeshoHee kaimba nani?
Alaah kumbee?!Mimi nimeupenda singeli kwa sababu ya mademu zangu watoto wa elfu 2 wanapenda Sana singeli
Kunae biti la "Tunaenda nyumbani" ile ya Rose mahenge, likipigwa ktk shughuri, vumbi linatimka hapo, vijana na mabinti full kuvurugwa.Andika "waraka wa amani singeli" kisha sikiliza lete mrejesho
Mie sio wa elf 2, na sijui pia.Wewe wa elfu 2 hujui?
Oooh kumbe bas sawa.Umezaliwa 98/99 wa elfu 2 ni jirani zako
Singeli siyo mziki. Ni upuuzi fulani tu hivi wa watu.wa pwani wasiopenda kumiza.vchwa kufikiri mashairi mazuri yenye mantikiMuda si mrefu wasanii wa Bongofleva watasitisha utaratibu wa kuwaruhusu wasanii wa singeli kufanya singeli versions za nyimbo zao kwa sababu kila wakifanya, singeli version zinakuwa hit kuliko nyimbo original.