Nguvu ya "NENO" katika Dunia na Katika Maisha yako

Mkuu Nimefarijika kusikia nguvu ya NENO/MANENO

hakika maneno ni hazina ya kupanua fikra zetu endapo yakiwasilishwa kwetu katika uchanya wake na kinyume chake

TUYAISHI MANENO YENYE KUTUJENGA TUYAKATAE MANENO YENYE KUTUFELISHA
ASSUME MANENO YABAKI CONSTANT

MANENO YA KUJENGA= MANENO YA KUFELISHA

UKIONDOA MANENO YA BOTH SIDES UTABAKI NA

KUJENGA = KUFELISHA

Logic yangu hapo ni kua maneno yataendelea kubaki kua ni maneno ila kunapokufanya uwe kwenye upande upi ni MITAZAMO yako uliyojengwa nayo inayoambana na IMANI yako
Hivyo kama Mtoto wako ataaminishwa kua Mitazamo chanya ni ya kumjenga pia aaminishwe kua Mitazamo hasi ni kinyume chake ikishikiliwa na Imani kama kiungo kikuu

Pia mkumbushe kwamba maneno ya KUJENGA ni sawa kabisa na maneno ya KUFELISHA
Kinachotofautisha ni Imani kama mwongozo na mtazamo kama Kanuni ya kumfanya awe upande Gani

Never say never
You can do it
You can
I trust
I believe

G vizy
 
Nianze kwa kukupa hongera kwa mchango mzuri wa kujenga, hakika ulichosema ni ukweli japo wapingaji uwa hawakosekani siku zote. Nakubaliana na wewe kuwa "Neno" kwenye ulimwengu wa roho lina nguvu yaani linaweza kushusha au kupandisha ufanisi wa mtu.
Ieleweke kwamba hata kwa washirikina hawawezi kufanya jambo bila kutumia neno kifupi hakuna mshirikina hasiye nena kwanza kabla ya kuroga au kufanya mambo yake.
Tulivyo leo ni matokeo ya maneno yetu au kuamini maneno ya watu wengine hivyo kukata tamaa, siku zote ukijiambia utashindwa mwili wako utajiweka katika hali hiyo, mfano ukitaka kuruka mtaro wa maji ili ufike upande wa pili, ukiiambia akili yako kuwa hautaweza, ukiruka lazima hautaweza kufika upande wa pili salama.
Mwisho nasema tujifunze kujinenea yale yaliyo mema na kuachana na fikra ambazo unyongonyesha ufanisi wetu.​
 


Umesema vyema Mkuu
 
Makala nzuri sana, ubarikiwe sana na Yesu.
 
Neno akafanyika mwili akakaa kwetu nasi tukauona utukufu wake.
 
Nakuelewa sana Mkuu...Huwa unanihakikishia kuwa np ktk Njia Sahihi.
 
Sisemi sana, Bahati mbaya! hamuonekanagi ….wewe ningekupiga na Sh. laki moja Usoni! paap! Live bila chenga!...umenijenga mnooo!...mtu akikosa hii amekosewa sana,

Naamini Mungu nae mjua hakika atakulipa na nitakuweka kwenye Maombi rasmi! asipokulipa nitamuuliza kwa nini??
 

Barikiwa zaidi Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…