Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

Ukiendelea usisahau kinitag kamkubwa Nyenyere
 
Hapo umenena, njia mbadala ndiko nakuja makala inayofuata. Nimeanza kwa kuonyesha matatizo yanayoweza kujitokeza, bali sijatoa njia mbadala, tega sikio sasa. Ndio inafuata amuda mfupi ujao tujadiliane.
 
Roho ni uhai, kama yalivyo mafuta kwenye au mfano wake. Ila gari haliitwi gari mpaa liwe na vile vitu vinavyofanya gari iwe gari.

Mwili wa mwanadamu una vitu vinne, unapoviacha vingine huyo haitwu tena mwanadamu, vinne hivyo ni : Nafsi, Roho, Moyo na akili, hivi ni kwa kuzongatia ufanyaji matendo. Sada unaposema Roho ina tamani na kuiitisha Nafsu, hii si kweli kabisa. Moyo una kazi ya kufanya maamuzi, akili kuyapanga mambo katika mafuhumu yake na kuchagua. Kisha nafsi ndiyo ina hisi na kuusukuma mwili ufanye.
 
Kiongozi Nyenyere naomba utupe njia za kufuata ili kuepukana na hili janga maana Bado Ni suala pevu kuliepuka kunahitaji mbinu hapa njoo tupe nn cha kufanya ilikuachana na hii Hali ukijibu nitag
 
Kiongozi Nyenyere naomba utupe njia za kufuata ili kuepukana na hili janga maana Bado Ni suala pevu kuliepuka kunahitaji mbinu hapa njoo tupe nn cha kufanya ilikuachana na hii Hali ukijibu nitag
Naungana na wewe mdau maana binafsi ni mwana CHAPUTA kindaki ndaki kwa wiki lazima nipige kwa logic hiyo mkuu tayari nimeathirika sana nipe tiba mkuu nisije kuumbuka
 
Mkuu hii umeirudia..hata hivyo tuko pamoja! Usiogipe changamoto za wengine kwani kwenye kujifunza kila mtu na uelewa wake!
 
Pita mitandaoni ujifunze, mwanadamu ana sehemu kuu tatu tu: roho, nafsi na mwili. Roho ndio uhai, mwili ni kama housing na nafsi ni ndio kiti cha maamuzi, akili ipo hapo nk. Roho ndio sauti ya Mungu, mwili ni kwa ajili ya kuooerate hapa duniani. Nafsi ndipo yatokapo maamuzi. Hebu pekua mtandaoni mkuu, hilo liko kila mahali.
 
Leo naomba tuangalie concept ya uumbaji ili tujue haswa tunapaswa kuishi vipi kuishinda punyeto na usagaji. Nitakuwa naandika kwa section fupi fupi huku tukiendelea na mjadala kadri hoja zitakavyokuwa zikijitokeza.

Ingawa mara nyingi natumia Biblia kama mwongozo lakini wale wasio wa Biblia msifadhaike, tazameni concept tu ili kujua mwanadamu anapaswq kuwa vipi. Haya twende...
 
Leo naomba tuangalie concept ya uumbaji ili tujue haswa tunapaswa kuishi vipi kuishinda punyeto na usagaji. Nitakuwa naandika kwa section fupi fupi huku tukiendelea na mjadala kadri hoja zitakavyokuwa zikijitokeza.
Kwa nini punyeto na usagaji tu na sio uzinzi na ushoga? Kuna namna yoyote haya mawili yanafanana?
 
Mwanzo 1
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
² Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
³ Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.

.........

Mungu akasema, Na liwe anga katikati ya maji, likayatenge maji na maji.

.........

Mungu akasema, Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, ili pakavu paonekane; ikawa hivyo.

..........

¹¹ Mungu akasema, Nchi na itoe majani, mche utoao mbegu, na mti wa matunda uzaao matunda kwa jinsi yake, ambao mbegu zake zimo ndani yake, juu ya nchi; ikawa hivyo.
¹² Nchi ikatoa majani, mche utoao mbegu kwa jinsi yake, na mti uzaao matunda, ambao mbegu zake zimo ndani yake, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.

.........

¹⁴ Mungu akasema, Na iwe mianga katika anga la mbingu ili itenge kati ya mchana na usiku; nayo iwe ndiyo dalili na majira na siku na miaka;
¹⁵ tena iwe ndiyo mianga katika anga la mbingu itie nuru juu ya nchi; ikawa hivyo.



Hizo aya zote hapo juu zinaongelea uumbaji wa Mungu. Angalia kwa makini jinsi gani Mungu alivyoumba KWA KUSEMA TU. Kwa nini iliwezekana? Kwa sababu Yeye pia ni Roho, hana mwili wa nyama. Hivyo kila neno atamkalo ni Roho kamili nalo litatukia kama alivyoagiza.

Waswahili wana msemo, kinywa huumba, unajua kwamba msemo huo umefanana na hiki kilichomo kwenye Biblia? Sio kila kitamkwachp basi kinakuwa, bali ni kile ambacho kina nguvu ya roho. Kwamba mtu akiweka moyo wake katika jambo na akalitamka kwa kukusudia kabisa bila shaka, basi humtokea aliyetamkiwa, hasa akiwa amemtendea ubaya huyo atamkaye.

Kwa hiyo Mungu aliumba kwa kusema tu, na ikawa hivyo. Sasa wengi hupotoka hapa, wakidhani ALIPOTAMKA KUFUMBA NA KUFUMBUA MARA ARDHI INATOKEA, WANYAMA WANATOKEA NK. Haikuwa hivyo, kilichoganyika hapo ni UUMBAJI WA ROHONI, KATIKA ULIMWENGU WA ROHO hayo mambo yalithibitika kwanza kabla ya kudhihirika kwenye ulimwengu wa mwili. Huamini? Tuendelee...[/b][/b]
 
...........
²⁰ Mungu akasema, Maji na yajawe kwa wingi na kitu kiendacho chenye uhai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu.
²¹ Mungu akaumba nyangumi wakubwa, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho, ambavyo maji yalijawa navyo kwa wingi kwa jinsi zao, na kila ndege arukaye, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
²² Mungu akavibarikia, akisema, Zaeni, mkaongezeke, mkayajaze maji ya baharini, ndege na wazidi katika nchi.


Kumbe Mungu aliwabariki hata wanyama pia, ila baraka zao ziko tofauti na mwanadamu. Wanyama wao walipewa NGUVU ya kuijaza nchi na bahari tu, wala hawakupewa KUITIISHA, YAANI kuwa watawala. Ni kwa kutumia nguvu hiyo wanatambua majira ya mwaka, wanajua wapi wapate maji ama chakula waweze kuendeleza nguvu ya kuijaza dunia. Ukitaza Simba kwa mfano: nguvu yake huthibitika kwa kuyamiliki majike, ndio maana huwezi kukuta madume mawili yakawa ndani ya kundi moja. Hakika mmoja lazima auawe, ndipo zilipo baraka za Mungu,hapo penye kuujaza ulimwengu.

Kwa binadamu ikoje?
.........

²⁶ Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.[/I]

Kwa hiyo kwanza kabisa uumbaji wa mwanadamu ulikuwa tofauti, KWA SURA NA MFANO WETU. Hapo ndipo penye mvurugano mwingine wa kitafsiri, lakini ni rahisi tu. Sura ya Mungu ni HAKI YAKE (righteousness) na mfano wake ni kutawala kwa sababu Yeye ni mtawala wa vyote.

“Bali mimi nikutazame uso wako katika haki, Niamkapo nishibishwe kwa sura yako.”

— Zaburi 17:15
“As for me, I will behold thy face in righteousness: I shall be satisfied, when I awake, with thy likeness.”
— Psalms 17:15 (KJV)


Hapo mzaburi anasema nikutazame uso wako katika haki, kila ninapoamka asubuhi NIRIDHIKE PALE NINAPOFANANA NA SURA YAKO. Ndivyo alivyo mwanadamu siku ya kuumbwa kwake. Tuendelee...

²⁷ Mungu akaumba mtu kwamfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.

Kumbe toka siku ya kuumbwa mwanamume, mwanamke pia aliumbwa!! Kwa vipi? Waliumbwa kwenye ulimwengu Wa roho, ni kama mjenzi anapoandaa ramani yake kwanza kisha iakiona ni njema hujenga.

Tena ona hapo inaposema Mungu aliumba MTU kwa mfano wake. Haisemi watu kana kwamba ni wengi, bali MTU!! Halafu inamsema huyo mtu wa mfano wa Mungu kuwa ni mwanamume na mwanamke. Hii inaonyesha wazi kuwa mwanamke na amwanamune walikuwa mwili mmoja toka kuumbwa kwao, hakuumba mwanamumebpeke yake na mwanamke peke yake, ok?

²⁸ Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.

Hapa Mungu akambariki huyo MTU aliyemwumba, alimwambia ZAENI.... Iweje wawe wengi? Ni kwa sababu Mungu alimwumba mtu mmoja mwenye sehemu mbili tayari,yaani alikuwa na roho moja yenye sehemu ya mke na mume ili kuwa kamilifu.

Kwa sababumwanadamu ni zaidi ya mnyama, akampa pia KUITIISHA DUNIA. Hapo ndipo nfuvu ya kutawala ilipokuja, kama Yeye alivyo mtawala. Kwa sura na mfano wake. Akampa jimbo la kutawala nalo ndilo dunia yetu.

.........
³¹ Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita.

Baada ya kuumba katika roho akaona kila kitu kimekaa sawa kabisa, lakini kumbuka hakuna kitu kilichotokea physically bado. Ndipo tunasema kwa kuwa tu mfano wa Mungu, mambo yetu yanapaswa kuumbwa katika roho kwanza, kisha huja kudhihirika katika mwili.

Hiyo ni kanuni ya maisha ya mwanadamu tangu kuumbwa kwake, atawale kutokea rohoni (kumbuka mpaka hapo bado mwanadamu ni roho, hana mwili bado). Ndivyo alivyoishi Yesu Kristo kwani alisema wazi, hakuna neno alilisema isipokuwa amemsikia Baba akilisema. Kwamba hakuenenda kwa kuangalia mambo ya duniani bali kusikiliza mambo ya rohoni ambayo ndiyo yanayomwongoza kuitawala dunia.

Tuendelee.....[/I]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…