Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

Unajua sana kujenga hoja na kuzitetea kiasi kwamba umenishawishi kabisa kusoma maelezo yako yote...

Niseme tu yote uliyoyaandika yana mashiko na uzuri umetupa mifano sio fikirishi ama nadharia bali ile inayoonekana wazi..
Back to the topic....Mtoa mada ametoa maoni lakini ni wazi hajatupa alternative ambayo ingesimama na kutoa jibu la wazi lisilo na shaka,Tunapojenga hoja yatupasa tusiwe Bias yapasa tushauri na tuliongelee jambo na kugusa hasara na faida na kuzipima ufanisi wake....
 

Wow, thank you! Tulikuwa tunajaribu kusisimua mjadala, tunatakiwa kujifunza kueleza facts ambapo hapa tulitakiwa kuzisema biological facts zilizotafitiwa na wenzetu sababu sisi hatufanyi tafiti na hatuchapishi maandiko.

Ajabu utaambiwa unatetea sababu unafanya.
 
Hahah nimekuelewa sana,
Si ajabu sasa nikaanza kufuatilia post zako.
 

Sasa ndiyo mjilaumu wenyewe kwa udomo zege wenu na kushindwa kutafuta hizo pesa ili muweze kuwapata hao wanawake! Msimtupie lawama mtu yeyote na wala msitake eti muonewe huruma kutimiziwa haja zenu bila kufanya juhudi zozote!
 
Nimekusoma, lakini tofauti yetu na vizazi vilivyotangulia ni teknolojia. Leo hii vitu kama picha za ngono, miziki ya nusu uchi, filamu zinazochochea ngono, aina yabkujiremna na uvaaji wa kina dada nk yote haya yanaongeza mihemko ya kingono. Kizazi chetu kilo juu mno mkuu
 
Uko sahihi sana,teknolojia imechangika sana kuongeza kasi...
 
Pigeni nyeto vijana ndoa zenyewe za kuingia una miaka 35 hadi 40 unategemea nini?
Mwishowe ubake watu buree!!
 
Nyeto NO
Sex before marriage NO

Unatengenezea watu bomu wewe!

how can these young people survive!.,? setback ya mafanikio maishani sio 'nyeto

nashauri watumie condoms, balance self pleasure

mambo ya kiroho Mungu anarekebisha muda wowote
 
Thank you tatizo watu wanafki sana!

ngja ashauri watu wafuge hizo hamu mwishowe wabake watu waone kama Mungu atawatoa gerezani,
 
Ila wewe nae ni kichwa
Interesting!
 

Mkuu huu uzi wako utawaokoa watu wengi nikiwemo na mimi nishabadilika kwa dhati.
Wapo wataobadilika wataosema na wengine hawatosema.
Kweli humweka Mtu huru Mungu akubariki kwa hili [emoji120]
 
Mkuu huu uzi wako utawaokoa watu wengi nikiwemo na mimi nishabadilika kwa dhati.
Wapo wataobadilika wataosema na wengine hawatosema.
Kweli humweka Mtu huru Mungu akubariki kwa hili [emoji120]
Amina kaka. Nimefurahi sana kusikia wako wanaoguswa na kubadili mfumo wa maisha. Mwenyezi Mungu azidi kukutia nguvu uishinde hiyo nguvu ya upotevu unaki katika nuru yake, amina.
 
Kweli Punyeto ni laana na si dhambi tu
Reference to me..
Kila nikamaliza najutia na kujiona Mtu nisiefaa kwa lolote yaan Mtupu pure mtupuu kabisa
Lakini pia kila nikifanya punyeto nikimaliza najiona kabisa nimeondosha nguvu zangu yaan nakua kama zombie zombie tu sijielewi, majuto mengi sana moyoni na hata ukiwa mbele ya watu unajihisi kama u mtupu hata kama huna aibu ila internally you feel as you are naked.
Ila ukiacha kujichua hata mwezi, kwanza kwa sisi waumini hata ukiomba kwa Mungu unaona Moyo wako una Amani na Sala yako imefika kabisa ila sasa jichue alafu uombe yaan unajiona kama unatimiza tu wajibu bila matokeo yeyote
Ukiacha kwa Mda unaona mwili unarudi safi kabisa na nguvu za mwili na rohoni unakua nazo yaan full Amani. Kujichua huwezi kua na Afya bora Daima.
Mwisho Mtu anaejichua yeyote hata mwili wake hauna Nuru,uwe na hela uwe huna hela, ule mboga saba au moja huwezi kua na nuru. Ni mtupu rohoni na mwilini hata kama utajiona una kila kitu na kweli baraka za Mungu haziwezi kua juu yako hata kama utapata kama unavyohisi ni baraka bado huwezi kudum na vikidum huwezi kua na furaha navyo yaan lazima misukosuko ikuandame.
Shukrani kaka.
 
Nakubaliana nawe kabisa
 
Nacheka tu jinsi binadamu anavoamua kujipunish kwa jina la dini.
Anaambiwa akiwaza sex dhambi,akisex kabla ya ndoa dhambi,akijichua dhambi,haendi mbinguni kabisa kwa hamu yake ya kimwili ambayo ni natural!!
Na hao ndipo kuuona ufalme wa mbinguni unapokuwa mgumu kama jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…