Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

Acha kusimulia hadithi za kishirikina
Punyeto ni tendo la kimwili si la kiroho

Matendo ya kiroho ni yote ambayo MUNGU anapendezwa nayo
(Wema, ukarimu, ibada, huruma, nk)

Ingekuwa punyeto ni hatari Kama unavyo izungumzia, MUNGU asingesita kuiweka kwenye amri zake kumi kwa wanadamu, labda utuambie aliisahau
 
"...usizini..." (injili)

"...usiikaribie zinaa..." (Qur'an)

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mmmmmh!.
 
Lakini nyinyi wakristo simnadai kuzini ni kwa mwenye ndoa tu!Uoni sasa kuwa Yesu aliweka amri hiyo kwa wanandoa na kwa sisi tusio na wake haituhusu ini uasherati voice.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Weak man hawezi kujua mambo ya kiroho.
 
Inamaana hata mbuzi, ngombe, bata, nao veepe,
 
Mkuu Am requesting you to write, To Speak about jinns kwa muktadha wa kibibilia kama ulivyo fanya hapa
 
Ameshakuwa addicted huyo imeshatake over rohoni Kikubwa kam ana mpango wa kuacha aache kuangalia picha na video zinazomhamasisha yeye afanye hilo na kingine atafute demu itamsaidia kam na wew ni mfuasi do the same
 
Mkuu yani uwe rijali huna demu alaf usipige nyeto? Hapo huwez ukawa mzima ase vile vichocheo ni vibaya sana usipo vipunguza kwa nyeto unaweza ukabaka hata dada yako..
Mm napiga nyeto mara 1 1 ili niwe normal
🤣🤣🤣🤣kazi ipo hap kuna watu hamtaki kuondoka kwenye hicho kifungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…