Hizi habari za kujichua zimezua mjadala mkubwa sana nyakati zetu hizi.
Kila mtu anazungumzia athari zake kwa jinsi alivyo amishwa au alivyo experience.
Athari za kiroho kama alivyooanisha hapa mleta mada, na kwa namna hio hio kulingana na imani ya mtu.
Zipo pia athari za kiafya kama wazemavyo wataamu wa afya, lakini pia wataalamu wengine tena walio rasmi wamepinga vikali uwepo wa athari za kiafya kutokana na kujichua.
Wataalamu wengine wa akili nao wamesema kuna athari zitokanazo na kujichua zinaathiri akili, lakini wengine wanakataa na wote wana hoja.
Sijaweza kujua ni kitu gani kimetusibu vijana waleo mpaka kujikuta washirika wa kujichua kwa kiasi kikubwa vile.
Mimi kwa takribani miaka 15 na kuzidi ninafanya hivi lakini nikiambiwa nionyeshe athari moja wapo ya zinazotajikana sinazo.
Nimeoa na ninawatoto wawili wenye afya.
Ninafanya kazi za watu sijaweza kuharibu.
Ibada na hudhuria na fellowship kwenye kanisa letu, kwa maana hio hofu ya Mungu niko nayo.
Na performance ya kujieleza mbele za watu niko nayo pia.
Mimi nawalaumu wanawake wao ndio chanzo cha vijana wengi kuharibika maybe. Kwa sababu ya lifestyle yao walio iga mfano mavazi urembo kujiamini nk.
Hii imepelekea mwanaume kukosa kujiamni na kusimama na mwanamke na kuona bora akajichue kuliko kupigiana makelele na mademu.
Mwisho athari za kujichua ziwe za kiroho kiakili na kiafya haziko general ndugu mleta mada.