Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

Huo sio ukweli mkuu, uko addicted. Tuwe pamoja, naamini utaacha kabisa na utajishangaa
Hamna addiction yenye ratiba bro.
Nafanya zoezi kila siku, siku ya tatu ya mazoezi nikimaliza kama vile leo asubuhi nimekimbia km 16 nimerudi nikapiga kimoja hapa cha kuweka nafsi poa. Hapa napiga tena j3 usiku.
 
Ndio hapa ninapopata shida Mimi, sisi binaadam tumekua wajuaji Sana ndio shida ilipoanzia. Sisi tuliumbwa Kama wanyama wengine tu ndio Mana Ng'ombe au mbuzi na mbwa hawapigi punyenga! Sisi tulibadili sex kua starehe ndio Chanzo Cha haya yote kuona hatuwezi ishi bila sex. Mungu muumba wa vyote alitengeneza mifumo mizuri tu ya sisi kusurvive Mana sio lazima kusex Kila Mara mana sex sio chakula, Ni kwaajili ya kuijaza dunia tu . Hayo Mambo mengine sijui ya ndoa Ni Mambo na Taratibu za kibinaadam na Imani yanatofautiana Kati ya mtu na mtu. SEX IS FOR REPRODUCTION sio starehe.
 
Hamna addiction yenye ratiba bro.
Nafanya zoezi kila siku, siku ya tatu ya mazoezi nikimaliza kama vile leo asubuhi nimekimbia km 16 nimerudi nikapiga kimoja hapa cha kuweka nafsi poa. Hapa napiga tena j3 usiku.
Mkuu we piga tu Wala usiogope. Hizi Ni Taratibu za watu za Maisha na sio lazima zifanane kwa wote. Uzuri wa dunia Ni tofauti zetu , wote hatuwezi kupiga puyenga na wote hatuwezi acha kupiga puyenga Kila kitu kwa wastan tu.
 
Kwani ashki ziko mikononi? Au mikono ndio chanzo cha punyeto?
 
Kuna makala moja nilisoma kutoka chanzo chakuaminika kabisa kinashauri kwa mwezi at least upige angalau mara 21 kwa ajilo ya afya yako

Halafu pia mpigaji anakua katika zone salama kwenye ugonjwa flani hivi wa cancer jina (nimesahau)
Mm mwenyewe nilisoma hiyo article vizuri. Iliandikwa na dr flani nimemsahau. Baada ya hapo nikasoma je punyeto inapunguza calories kwa sisi watu wa mazoezi nikaona hamna cals zinazopungua japo ukifanya mapenzi na mwanamke unaweza kupunguza cals 6 hadi 8 inategemeana na mavurugu unayofanya. Nikasoma je kati ya puli na show na mwanamke kipi kinauchosha mwili kwa sisi watu wa mazoezi. Majibu yalikuja kufanya mapenzi kunavunjavunja mwili hivyo unatakiwa upumzike walau siku nzima. Ila punyeto walisema haina shida. Ila mm kipengele changu nilichukua ushauri wa kila baada ya siku tatu ya mazoezi makali nitapumzika siku moja ambayo nitaitumia kipiga puli. Na inatakiwa upumzike masaa 12 hadi 24 baada ya kupiga nyeto ndio uendelee na mazoezi mazito.
 
Nyeto mbaya ni ya kufanya huku ukiangalia porn,Ila hii ya kmvutia hisia mrembo flani au your own imaginary cute girl haina shida. Ila tuwe na kiasi jamani round moja inatosha, unakuta mtu anapiga bao 3 puchu[emoji1751][emoji134] sio poa kabisa.
Elezea kwa nini moja iwe mbaya na nyingine iwe nzuri
 
Ndipo tulipofikia. Akili nyingi mbele giza. Nini kifanyike?
 
Inawezekana kwa mtu mmoja mmoja mkuu. Pia haya ni maadili ya ndoa, unaona kuna wadau wanajigamba wanapiga sana na wako vizuri na wake zao. Unadhani wanawake wataacha kulala nje kweli?
 
Kuna makala moja nilisoma kutoka chanzo chakuaminika kabisa kinashauri kwa mwezi at least upige angalau mara 21 kwa ajilo ya afya yako

Halafu pia mpigaji anakua katika zone salama kwenye ugonjwa flani hivi wa cancer jina (nimesahau)
Ni kweli, kuna mgawanyiko mkubwa sana hata kwenye nyanja za afya. Hapa tunatazama kwa upande wa pili, spiritually. Lakini pia wewe mwenyewe chagua wa kumwamini kwani wapo wanaosema anal sex ni safe kabisa huku wengine wakisema ina madhara makubwa. Kumbuka hao ni binadamu pia, hivyo the choice is yours.
 
Hamna addiction yenye ratiba bro.
Nafanya zoezi kila siku, siku ya tatu ya mazoezi nikimaliza kama vile leo asubuhi nimekimbia km 16 nimerudi nikapiga kimoja hapa cha kuweka nafsi poa. Hapa napiga tena j3 usiku.
Sawa
 
Ndoa ni taratibu za Mungu na upo ushahidi tosha mkuu. Tafuta thread nirakuwekea jina hapa. Pia nikimaliza hii nitaandika kuhusu chanzo cha mapenzi. Ndipo utaelewa.
Mambo yote yafanyike kwa utaratibu
 
Mkuu we piga tu Wala usiogope. Hizi Ni Taratibu za watu za Maisha na sio lazima zifanane kwa wote. Uzuri wa dunia Ni tofauti zetu , wote hatuwezi kupiga puyenga na wote hatuwezi acha kupiga puyenga Kila kitu kwa wastan tu.
The choice is yours
 
"...japo ukifanya mapenzi na mwanamke unaweza kupunguza cals 6 hadi 8 inategemeana na mavurugu unayofanya..."

Hapana kamanda hapo umetufunga kamba. Calories 6 unaweza kuziunguza kwa kujikuna tu au kupiga chafya mfululizo. Show ya kibabe kwa mwanaume inaweza kuunguza calories zaidi ya 150....

Halafu wamesema tena anal sex iko pouwa na salama, unawaamini?
 
Elezea kwa nini moja iwe mbaya na nyingine iwe nzuri
Alishaelezea hapo. Kuna aina za nyeto mbili.
1. Kuangalia porn huku ukijipa mzuka.
2. Kumvutia hisia mwanamke.
Hii ya pili kwa maexpart wengi hawaipendi maana inamadhara. Madhara yake ni kama ifuatavyo kunawanawake wengine kama wachawi vile unamvutia hisia vizuri anakuja kwenye 18 mshindo unataka kuja anapotea machoni hivyo anakufanya uanze upya kumvutia hisia hapo ndio anakupotezea muda wako. Ndio maana wengi wanaopt namba 1 au mwanamke ambaye ndani ya dk 1 anakua kashamaliza haja zake. Hiyo no 2 ishanikuta kwa bongo muvi flani. Sijui anauchawi gani yule dada, kila nikimvutia picha mwishoni anapotea nikaachana nae
 
Very true
 
Dah! Hapo mwishoni nimecheka kama vile mazuri [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…