Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

Vitabu vyao tu vya dini wanavyo vifata vinadaiwa kua havijaandika kila kitu kuhusu habari za manabii na mitume yao kwasababu wangeandika kila tukio walilofanya kulikua na uwezekano wa hivyo vitabu kutobebeka kutokana na wingi wa pages

Sasa katika hizo summary zilizoachwa huenda wangezipata wangekuta kipengele ambacho mmoja wa mitume au nabii alinyetuka na bado katika hiki kitabu ambacho kimefanyiwa summarize akawa bado anachukuliwa kama mtukufu

Inavyodaiwa yesu hakuoa na alifariki akiwa na miaka takribani 30+ sasa watu walitegemea biblia iandike kila kitu alicho kifanya around hiyo miaka na nalivyokosa baadhi ya nukuu wakajivika u-yesu kuhalamisha baadhi ya vitu

Nilichoona watu wanaweka fursa kupitia hii sanaa. Washajua ina addict sasa namna ya wao kupiga pesa ni kutengeneza uongo ili watu wajutie kisha waombe ufumbuzi on how to quit it.....kisha wao waje na vijidawa vyao kama vya loliondo waviuze kwa bei ghali ili nao wasukume gurudumu la maisha

Walivyoona wakitumia spirit ya udnini kukataza kuna watu hawatawaelewa wakaja na hii "Eti ooh sijui inapunguza nguvu za kiume"

Alkasusu watu wanawekewa mpaka viagra kwa imani ya kua ina-stimulate nguvu za kiume mchezo?
 
Si ni kama tafiti zako pia,
 
Maswali:

Ukiwa unaishi kwenyebjamii, kuna watu waliothirika physically na punyeto? Au ni myth tu?
Hasara nimeainisha hapo juu japo sio nyingi ila hakuna hasara inayolenga afya kwa mnyetukaji.

Hasara nayo hiyo huja pale mtu anapokua very addicted kwa mfano ukawa unakikao saa mbili kamili halafu ukajikuta umechelewa kutokana na muingilianonwa ratiba (puli)


Je, unawafahamu watu wanfapi ambao wamepata prostate cancer kwa kutopiga punyeto?
Hao ambao wamepata prostate cancer kwa kutopiga nyeto mi siwezi kuwa defend wala sina msaada nao kwa uzembe wao.

Takwimu zilizofanywa mwaka 2006 kwa Kundi la wanaume ambao walikua na prostate cancer ambao walikua wananyetuka iligundulika kua kiwango chao cha ugonjwa kime decrease kwa asilimia ishirini kuliko kundi ambalo halijihusishi na nyeto (just imagine jamaa wangepiga mara 60 kwa mwezi si wangepona kabisa?)

Inashauriwa kua endapo mwanaume utapiga nyeto mara 21 kwa mwezi kuna uwezekano mkubwa wa kutoweza kupata huo ugonjwa hasilani

ONYO: Sio kila tafiti zimelenga kusema ukweli, hukuoewa akili iwe replaced na tafiti zisizo na kusudi halisi. Kuamini kila jambo kisa limetoka Ulaya ni kujitia mtegoni. Angalia asili yako nawe utaishi, huu upuuzi umeanza majuzi tu.

Sasa wewe unatuhakikishia vipi kua tafiti yako kuhusu madhara ya punyeto ni ya kweli na sio kwamba ni miongoni mwa tafiti za kizushi?
 

Sijakataa Kwamba sio zinaa hiyo Ila Sasa dhambi ya uzinzi wa kuvunja amri ya sita na mtu hua Ina matokeo haya, Kupata magonjwa, kupata mimba zisizo na mpango, Kufumaniwa au Kufumaniwa, kutendwa au kuumizwa, usaliti n.k

Njoo kwa hiyo Nyeto Madhara yake Ni ya kufikiria na mengi yanarekebishika tu Tena bila hata Tiba..
Kwa mfano mm nimeamua kutokuoa na Maisha yangu yote ntakua najishika mwenyewe tu( kwa mfano) hayo Madhara unahisi yataniathiri wapi?

Ukijaribu kupima uzito wa matokeo ya sex and master utaona master is more safe.. I recommend it kwa Wanafunzi na wale wasiokuwa na wenzi waliohalalishwa.. it's safe, save time and less expensive!
 
Duuuuu kweli wewe ulikua umetekwa aisee
 
Ungeanza na madhara ya kuingiliana(kusex) na wanawake wengi tofauti tofauti ningekuona myu wa maana
 
Alafu puli ya miaka hii imekua ya kistaa sana. Kila baada ya siku tatu kupita unapiga kimoja tu chakuweka mwili sawa. No stress No kuchoshana, bize na mambo yako.
Wengine kwa wiki mara moja. Unakuja kumaliza mwezi umepiga mara 4 tu
 
Nimecheka kifala daadeq Euroleague umeua baharia we nyoko sana Katina chama ww una nafasi gani Kama sio mwasibu wewe. Mm rasmi nimeacha na nyaraka zote za chama narudisha kwenu
 
@Nyenyere Mbona patam hapo mkuu lkn ukisahau kinitag ndugu yang baada ya kuchukuliwa na police ilikuwaje huko mbeleni
 
Ungeanza na madhara ya kuingiliana(kusex) na wanawake wengi tofauti tofauti ningekuona myu wa maana
Asichojua wataalam huko university of Calfornia bado wanaendelea na uchunguzi je unprotected sex na wanawake mbalimbali inaweza kupelekea mtu kupata prostate Cancer. Wao wanadhani dunia ya leo ni kuchovya kila shimo.
 
Mwanagu umeua kinyama sio sio kwa nadharia hiyo ulitoa mkubwa we ni nouma sana asee nimecheka sana kweli JF kisima Cha maarifa Scars nimecheka kinyama
 
Nyeto mbaya ni ya kufanya huku ukiangalia porn,Ila hii ya kmvutia hisia mrembo flani au your own imaginary cute girl haina shida. Ila tuwe na kiasi jamani round moja inatosha, unakuta mtu anapiga bao 3 puchu[emoji1751][emoji134] sio poa kabisa.
Mmhhhhhas
 
Big up Cole Cole Williams ndo dhamira ya huu Uzi kutafuta suluhisho kwa hiki kizazi
 
Kuna makala moja nilisoma kutoka chanzo chakuaminika kabisa kinashauri kwa mwezi at least upige angalau mara 21 kwa ajilo ya afya yako

Halafu pia mpigaji anakua katika zone salama kwenye ugonjwa flani hivi wa cancer jina (nimesahau)
Naona unatetea chama kiongoz8
 
Hamna addiction yenye ratiba bro.
Nafanya zoezi kila siku, siku ya tatu ya mazoezi nikimaliza kama vile leo asubuhi nimekimbia km 16 nimerudi nikapiga kimoja hapa cha kuweka nafsi poa. Hapa napiga tena j3 usiku.
@Euroleague hebu tuwekee hiyo timetable yako hapa tuikague ndugu tunaweza kujushauri Jambo
 
Naona watu wanatumia kila Aina ya Hoja na vigezo pamoja na nadharia mbalimbali kuhalalisha Pili kuwa Ni Best way kwa maisha ya mwanadamu na haina madharia but to be honestly hiyo Ni dhambi mbele ya Mungu haitakiwi kabisa lkn sahiv kunakuwa na force gravitational between evil na sisi wanadamu KUHUSU Puli lkn hapa Ndipo shetani anapotupatia
 
Kweli we ni Nguli kisiki katika hiyo secta unazompaka evidence juu ya ipi njia bora itumike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…