Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

Hizi habari za kujichua zimezua mjadala mkubwa sana nyakati zetu hizi.
Kila mtu anazungumzia athari zake kwa jinsi alivyo amishwa au alivyo experience.
Athari za kiroho kama alivyooanisha hapa mleta mada, na kwa namna hio hio kulingana na imani ya mtu.
Zipo pia athari za kiafya kama wazemavyo wataamu wa afya, lakini pia wataalamu wengine tena walio rasmi wamepinga vikali uwepo wa athari za kiafya kutokana na kujichua.
Wataalamu wengine wa akili nao wamesema kuna athari zitokanazo na kujichua zinaathiri akili, lakini wengine wanakataa na wote wana hoja.

Sijaweza kujua ni kitu gani kimetusibu vijana waleo mpaka kujikuta washirika wa kujichua kwa kiasi kikubwa vile.
Mimi kwa takribani miaka 15 na kuzidi ninafanya hivi lakini nikiambiwa nionyeshe athari moja wapo ya zinazotajikana sinazo.
Nimeoa na ninawatoto wawili wenye afya.
Ninafanya kazi za watu sijaweza kuharibu.
Ibada na hudhuria na fellowship kwenye kanisa letu, kwa maana hio hofu ya Mungu niko nayo.
Na performance ya kujieleza mbele za watu niko nayo pia.

Mimi nawalaumu wanawake wao ndio chanzo cha vijana wengi kuharibika maybe. Kwa sababu ya lifestyle yao walio iga mfano mavazi urembo kujiamini nk.

Hii imepelekea mwanaume kukosa kujiamni na kusimama na mwanamke na kuona bora akajichue kuliko kupigiana makelele na mademu.

Mwisho athari za kujichua ziwe za kiroho kiakili na kiafya haziko general ndugu mleta mada.

Kha sasa mkuu mwanaume ushindwe kujiamini wewe lawama ukamtupie mwanamke
 
Hapa nilittaka kuwasha kamoja, naona mkuyenge umelala baada ya kusoma Uzi huu[emoji16][emoji16][emoji16]

Baadaye ulete njia ya kuacha Basi kiongozi. Huenda ukatusaidia waathirika wa kupanda mnazi.
[emoji2][emoji2][emoji2]..... Oa mkuuu
 
Kuna ubaya Gani mtu kujishika sehemu zake kwa starehe zake binafsi?, Kati ya madhara ya Punyeto na uzinzi yepi yana Unafuu?
Kuliko mtu kuhatarisha Afya yake na future yake kwenye uzinzi, mi naona Bora kujishika aisee.. it's fun and less expensive!!
Hakuna dhambi ndogo mkuu
 
Kwahiyo mwanamke asiishi maisha yake kwa sababu tu wewe utashindwa kujiamini eti
Kama mwanamke angeyaishi maisha yake ndugu yangu hii mada isingekuwepo.
Mwanamke ndie chanzo cha uharibifu wa mwanaume.
Wewe unadhani ninani anaependa kujichua kama anauwezo wakuoata kitakacho replace hili hitaji lake. Uliwahi kusikia hata mara moja mambo haya ya kijichua kwa wazee wetu hapo kale? Ni kwa sababu mwanamke alikua akiyaishi maisha yake ya uhalisi.
 
Hakuna dhambi ndogo mkuu

Ni kweli kabisa, Ila kulingana kwake hakumaanishi zote Zina matokeo ya kufanana.. we chakata Papuchi na mwenzio apige nyeto then mkutane Hospital ndo utaelewa nn nnamaanisha..
 
Kama mwanamke angeyaishi maisha yake ndugu yangu hii mada isingekuwepo.
Mwanamke ndie chanzo cha uharibifu wa mwanaume.
Wewe unadhani ninani anaependa kujichua kama anauwezo wakuoata kitakacho replace hili hitaji lake. Uliwahi kusikia hata mara moja mambo haya ya kijichua kwa wazee wetu hapo kale? Ni kwa sababu mwanamke alikua akiyaishi maisha yake ya uhalisi.

Khaaaa hebu soma tena ulichoandika mkuu! Uko serious kweli?

Kwani ni wanaume wangapi wamewafuata hao wanawake mnaosema wanajiamini na wamewapata? Wewe kama ni domo zege hilo ni juu yako msitake wanawake wawakubali kwa kuwaonea huruma na wakati mkikubaliwa hata hamnaga shukurani!
 
Sijaelewa hasa ni kwa vipi ni kuridhishana. Sidhani kama nimeaema sex ni kwa ajili ya kuridhishana tu. Nimeeleza kirefu kuwa sex ni tendo la kiroho zaidi kuliko kimwili.

Huo mtazamo wako wa kuijaza dunia ni binafsi na ni wa kimwili zaidi. Lakini sex ina aspects nyindi zaidi kuliko hilo ambalo ni end product mojawapo. Kuna uzi nimeelezea sana kuhusu haya mambo ya sex, nakushauri udome huko tujadili. Hapa ni kama mwendelezo tu

Kuna uzi nimeelezea sana kuhusu haya mambo ya sex, nakushauri udome huko tujadili. Hapa ni kama mwendelezo tu

Link tafadhali
 
Ivi nyeto imekua maarufu kwa kizazi hiki na kipindi chetu tuuu.
Ama kwa sababu sisi tupo kwenye umri wa kufanya mapenzi (sexual active) ndo maana tunaskia sana na kupata habari za nyeto na madhara yake.

Nafikilia hivi hawa wazee wetu wao hawakua wakipiga nyeto katika umri wao wa kufanya mapenzi, ukizingatia zamani maadili kwa vijana yalikua juu sana ko kupata dem ilikua kwa mbinde sana kulinganisha na sasa ambapo kuna hadi kula tunda ki masikhara. Na mademu kibao wamekua cheap.

Isije kufika wakati na sisi tukasahau hizi mambo za punyenga kwa sababu ya umri na kuchoka. watoto wetu ndo wakawa active, alafu wakawa wanasifia kizazi chetu hakikua na haya mambo ya pull.
 
Imeongezeka kwelikweli katika nyakati zetu.
 
Kwamba wimbi la upigaji nyeto limeongezeka kwa kiwango kibubwa nyakati hizi kuliko vizazi vya nyuma.

Mawazo yangu; hatuna ushuhuda tuu wa vizazivilivyopita kuhusu mienendo yao kwenye hili janga, ukizingatia ni kitendo cha siri, ambacho sio kila mtu anaweza kueleza hadharani kwamba kizazi chetu miaka ya arobaini kabla ya uhuru tulikua tunapiga sana nyeto.

Cha msingi: tuombee vizazi vyetu visiingie kwenye janga hili.
 
Khaaaa hebu soma tena ulichoandika mkuu! Uko serious kweli?

Kwani ni wanaume wangapi wamewafuata hao wanawake mnaosema wanajiamini na wamewapata? Wewe kama ni domo zege hilo ni juu yako msitake wanawake wawakubali kwa kuwaonea huruma na wakati mkikubaliwa hata hamnaga shukurani!
kwa maoni yangu na mtazamo wangu vijana wengi wa kiume wameangukia kupiga punyeto kwa sababu ya wanawake kuwazidi uwezo kwa namna yoyote ile.
katika hali ya kawaida nyakati tulizo nazo tunawea kusema kupata mwanamke wa kusex nae imekuwa rahisi sa labda kwa mchangowa teknologia, lakini ukweli ni kwamba kuna wanaume wengi sana haswa vijna wanashindwa kupata nafasi hio kwa sababu nyingi ikiwemo hio ya udomo zege.

lakini pia swala la kujichua si kwa wanaume pekee bali na wanawake pia.
vipi kuhusu wanafunzi?
vipi kuhusu watawa?
 
Watawa ndio akina nani?
 
Back
Top Bottom