Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Kusindikizwa kwani ndio kupata kura? Hizo ni drama tu kwa sababu mwisho ni wangapi wamempigia kura. Sio baadaye mtu anasema eti kaibiwa kura kwa kua alisindikizwa na watu wengi kuchukua fomu.Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba leo tarehe 26/10/2024 kipyenga cha uchukuaji wa fomu za kugombea uenyekiti wa Serikali za Mitaa kimepulizwa Rasmi.
View attachment 3136018
Na hivi ndivyo Chadema ilivyofanya
View attachment 3136019View attachment 3136020View attachment 3136021
Ujumbe: Wananchi ndio Wenye Nchi
😁Mdude Nyagali anagombea?
Mdude ngazi yake ni UwaziriMdude Nyagali anagombea?
Hoja ni kusindikizwa, jikite humoKusindikizwa kwani ndio kupata kura? Hizo ni drama tu kwa sababu mwisho ni wangapi wamempigia kura. Sio baadaye mtu anasema eti kaibiwa kura kwa kua alisindikizwa na watu wengi kuchukua fomu.
Nchi ni ya ma ccm peke yaoTaarifa ikufikie Popote ulipo kwamba leo tarehe 26/10/2024 kipyenga cha uchukuaji wa fomu za kugombea uenyekiti wa Serikali za Mitaa kimepulizwa Rasmi.
View attachment 3136018
Na hivi ndivyo Chadema ilivyofanya
View attachment 3136019View attachment 3136020View attachment 3136021
Ujumbe: Wananchi ndio Wenye Nchi
Kwa mfumo huu wa uchaguzi, hata hao cdm ni kama wana moyo sana. Ogopa uchuguzi ambao wasimamizi wa uchaguzi wamepewa maagizo kuwatangaza wagombea wa ccm.Tarehe 27 Novemba sio mbali.Tutasikia visingizio kuwa uchaguzi haukuwa wa haki na huru.
Rukeni rukeni sasa hivi ukweli utakapodhihiri hatutaki visingizio.
Mji gani walipoishia labda?Wameishia mijini halafu wakigaragazwa utasikia kelele za kuibiwa kura.
Ujumbe: Wananchi ndio Wenye Nchi
Mikumi.Mji gani walipoishia labda?
Hapo mtu si anataka kuonesha anakubalika kwa kua kasindikizwa na watu wengi kuchukua fomu?Hoja ni kusindikizwa, jikite humo