LGE2024 Nguvu ya Umma: Angalia Jinsi Mgombea wa CHEDEMA anavyosindikizwa na Wanakijiji Wenzake kwenda kuchukua Fomu

LGE2024 Nguvu ya Umma: Angalia Jinsi Mgombea wa CHEDEMA anavyosindikizwa na Wanakijiji Wenzake kwenda kuchukua Fomu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
NIWE TU MKWELI
Kwa rafu zilizopigwa kwenye uandikishaji wapiga kura,sioni nafasi ya chadema kushinda uchaguzi
 
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba leo tarehe 26/10/2024 kipyenga cha uchukuaji wa fomu za kugombea uenyekiti wa Serikali za Mitaa kimepulizwa Rasmi.

View attachment 3136018

Na hivi ndivyo Chadema ilivyofanya

View attachment 3136019View attachment 3136020View attachment 3136021

Ujumbe: Wananchi ndio Wenye Nchi
Kusindikizwa kwani ndio kupata kura? Hizo ni drama tu kwa sababu mwisho ni wangapi wamempigia kura. Sio baadaye mtu anasema eti kaibiwa kura kwa kua alisindikizwa na watu wengi kuchukua fomu.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Mdude Nyagali anagombea?
😁

Anajiita Politican na Political activist kwa wakati mmoja.

Angekuwa na uelewa na akili za wastani tu angekuwa mwanasiasa mzuri maana ni jasiri

Ukimkuta sasa usiku kavaa miwani ya jua na ya kike unaona kabisa dish limeyumba.
 
Kusindikizwa kwani ndio kupata kura? Hizo ni drama tu kwa sababu mwisho ni wangapi wamempigia kura. Sio baadaye mtu anasema eti kaibiwa kura kwa kua alisindikizwa na watu wengi kuchukua fomu.
Hoja ni kusindikizwa, jikite humo
 
Tarehe 27 Novemba sio mbali.Tutasikia visingizio kuwa uchaguzi haukuwa wa haki na huru.
Rukeni rukeni sasa hivi ukweli utakapodhihiri hatutaki visingizio.
Kwa mfumo huu wa uchaguzi, hata hao cdm ni kama wana moyo sana. Ogopa uchuguzi ambao wasimamizi wa uchaguzi wamepewa maagizo kuwatangaza wagombea wa ccm.
 
Back
Top Bottom