Hata siku moja huwezi kuwa na wabunge 23 Tanzania nzima halafu useme una nguvu ya Umma hizo zitakuwa akili za kunguru mgonjwa!
Hivi unajua maana ya nguvu ya umma au unaropoka tu!
Hata siku moja huwezi kuwa na wabunge 23 Tanzania nzima halafu useme una nguvu ya Umma hizo zitakuwa akili za kunguru mgonjwa!
Du! wewe kweli washakuharibu.Mbona hayo maguvu ya Umma sijayaona kwenye ule Mswada matokeo yake mkafyata mkia mlipokwenda pale magogoni.?
CHADEMA ni zaidi ya wabunge 23 lipo kundi kubwa la watanzania waliopo nyuma ya CHADEMA.Hata siku moja huwezi kuwa na wabunge 23 Tanzania nzima halafu useme una nguvu ya Umma hizo zitakuwa akili za kunguru mgonjwa!
Mfano wa nguvu ya umma nadhani umeuona Misri, Tunisia, Yemen, Syria, kama ni mfuatiliaji wa habari utakuwa unajua maana nzima ya nguvu umma..
Hayo maandamano ya chuo kikuu cha Dar es Salaam tuliyaona kwenye vyombo vya habari..
Polisi walipiga mabomu matatu tu hiyo nguvu ya umma mnayoisema yote ilisambaa kwa kasi ya ajabu..
Baadhi ya wanafunzi waliokamatwa waliishia kulalamika tu, huku wakishutumu jeshi la polisi eti limetumia nguvu nyingi..
Je kama wangetumia silaha nzito sijuhi wangesemaje!
tangu utumbukie chooni akili yako sio nzuri umekuwa kama magambahivi unajua maana ya nguvu ya umma au unaropoka tu!