MD24
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 745
- 254
Hata siku moja huwezi kuwa na wabunge 23 Tanzania nzima halafu useme una nguvu ya Umma hizo zitakuwa akili za kunguru mgonjwa!
Hata wali 'waasi' wa libya hawakua na mbunge hata 1. Lakini mwisho wa siku wakamchomeka vijiti ....
Wabunge 23 ni wengi sana. Things might change in magnitude you cannot predict! Peoplezz!!