Habari zenu wakuu
Mimi Niko mbali sana na mambo ya siasa ila mala Moja Moja huwa naingia mtandaoni kujionea mambo yanayo endelea
Leo nimeona namna ambavyo Baadhi ya wanachama wa CHADEMA walivyo changisha pesa kwaajili ya kumtoa jela kijana aliye choma picha ya Mama
Binafsi nimejikuta nawapigia saluti Hawa binadamu kwasababu wanacho kifanya ni kitu kikubwa sana.
MUNGU AWABARIKI SANA CHADEMA NA VYAMA VINGINE VYA UPINZANI
NB: TUSITEKANE JAMANI