Pre GE2025 Nguvu ya Upinzani Tanzania ni kubwa sana

Pre GE2025 Nguvu ya Upinzani Tanzania ni kubwa sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

zipumbovu

Member
Joined
Nov 27, 2023
Posts
22
Reaction score
344
Habari zenu wakuu

Mimi Niko mbali sana na mambo ya siasa ila mara Moja Moja huwa naingia mtandaoni kujionea mambo yanayo endelea.

Leo nimeona namna ambavyo Baadhi ya wanachama wa CHADEMA walivyo changisha pesa kwaajili ya kumtoa jela kijana aliye choma picha ya Mama

Binafsi nimejikuta nawapigia saluti Hawa binadamu kwasababu wanacho kifanya ni kitu kikubwa sana.

MUNGU AWABARIKI SANA CHADEMA NA VYAMA VINGINE VYA UPINZANI

NB: TUSITEKANE JAMANI

Screenshot_20240705-204815~2.png
 
Habari zenu wakuu

Mimi Niko mbali sana na mambo ya siasa ila mala Moja Moja huwa naingia mtandaoni kujionea mambo yanayo endelea
Leo nimeona namna ambavyo Baadhi ya wanachama wa CHADEMA walivyo changisha pesa kwaajili ya kumtoa jela kijana aliye choma picha ya Mama

Binafsi nimejikuta nawapigia saluti Hawa binadamu kwasababu wanacho kifanya ni kitu kikubwa sana.

MUNGU AWABARIKI SANA CHADEMA NA VYAMA VINGINE VYA UPINZANI

NB: TUSITEKANE JAMANI
Upo sahihi mwamba, mara
 
Hilo ni pigo kwa serkali ya CCM, mahakama na chawa wote wa Mama.

Haya majira kaeni makini chawa wapo kazini kulinda ugali mtafungwa sana
 
Back
Top Bottom