Nguvu yangu inatoka wapi?

Nguvu yangu inatoka wapi?

mmh mkuu labda una mapepo .sory lakn kwn huskii kama kna mtu anakuonglesha
 
Katika maisha yangu nimejikuta nikiingia ktk uhusiano na wanawake mbali mbali. Kinachonishangaza ktk kila mwanamke nitakayetembea naye halafu akaniacha lazima akija kuolewa hawezi dumu kwenye ndoa, lazima waachane tu.

Pia kama nilimtongoza akiwa shulen basi lazima apate mimba shule afu akishapata shule ataacha na kwenda kuolewa na huyo aliyempa kisha baada ya Muda wanabwagana.

Hali hiyo hutokea hata kwa wale ambao niliwapiga sound afu wakanitolea nje. Pia kuna wakati ambao nikipishana na mtu halafu moyo wangu ukijihisi huruma au maumivu juu ya mtu huyo ujuwe hapitishi week kabla hajaiona pepo.

Hivi nina nguvu gani?

Una pepo la roho ya nuksi kwa jinsia pinzani, wewe halikuathiri bali limechagua mwili wako kama makao yake ya kutimiza uovu wake
 
Watu 7.5 billion Ni wangap waliokufa kwa hizo nguvu zako??
 
Mmmh ... Sijui kwa nini niko kwenye hili jukwaa najitisha😳
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Na hayo yote yamefanyika kwa muda gani!!???!!!!???
 
Unamapepo ww angalia yakisosa wakumdhuru yatakudhuru ww mwenyewe.
 
Hilo ni pepo, kama hufurahiahwi na hiyo hali pata huduma ya maombi itasaidia sanaaa
 
Back
Top Bottom