Nguvu yetu ipo katika umoja wetu, tukumbushane hili tunapoikaribia miaka 60 ya uhai wa taifa letu

Issue ni kuwa mgeni na maoni yangu, au ni maoni yako kuyafanya ndio sahihi?
Lengo ni kuwakumbusha baadhi ya watanzania kuwa sio kila kitu ni lazima kifanane na maandiko fulani maalum ya kisheria ndio kiweze kuwa na lengo la kuutunza utaifa wetu.

Zipo busara za wazee waliotangulia mbele za haki, kuna wakati huonekana kama vile haziwezi kutetewa kwa kutumia vifungu vya kisheria lakini ndizo busara zinazoliweka taifa letu hai mpaka leo hii.
 
Neno moja juu ya katiba mpya tafadhali,angalau tubadilishe jinsi ya kuvumiliana
 
Haya mlitakiwa kuyakumbusha enzi za Mwenda zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…