Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
mi sitoangalia wala kujipa preshaTutapigwa tuchakae nawaambia tunaenda kuchakazwa.
Kuangalia ni muhimu ili upate kitu cha kukumbuka.mi sitoangalia wala kujipa presha
Tangu tuitwe kichwa cha mwendawazimu
Teh
Hpn kumbukumbu nlzo nazo znantoshaKuangalia ni muhimu ili upate kitu cha kukumbuka.
[emoji3][emoji3]Bora tungepeleka Simba au Lipuli.Hpn kumbukumbu nlzo nazo znantosha
simba ingetuwaklisha vyema[emoji3][emoji3]Bora tungepeleka Simba au Lipuli.
Pikipiki fc ndiyo ingekuwa aibu kubwa zaidi ya Vita, Al Ahaly au Mazembesimba ingetuwaklisha vyema