Nguvu yetu kuelekea AFCON mbona haipo?Au tunasubiri miujiza ya ushindi?

Nguvu yetu kuelekea AFCON mbona haipo?Au tunasubiri miujiza ya ushindi?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Nchi yetu ilisherekea tulipofuzu AFCON lakini baada ya hapo si wanasiasa wala wanamichezo ambao wamejitolea kuonyesha mbwembwe kuelekea fainali hizo huko Misri....hakuna ahadi wala maneno ya viongozi yanayotia hamasa.

Je tunawasubiri washinde ndo tuanze kutoa maneno? Au tumekata tamaa na kikosi chetu?
 
Tutakwenda kufungwa hata zaidi ya bao kumi huko kwa baadhi mechi.
 
Back
Top Bottom