Nguvu za kiume, kukosa hamu ya sex na uke mkavu.. Msaada

Nguvu za kiume, kukosa hamu ya sex na uke mkavu.. Msaada

Nguvu za kiume,
Naombeni tiba kamili........ Kama kuna mtu ana ushahidi pia anijuze

Uke mkavu, hata utekenye haufunguki nabkuloana naombeni tiba kamili kama kuna mtu ana ushahidi wa matibabu anijuze...

Kukosa hamu/ msisimko wa tendo la ndoa
Au kama una ushahidi wa dawa flan unijuze..

Hedhi kujirudiarudia ndani ya mwezi mmoja mara mbili au zaidi
Naombeni majibu ya hakika iwe msaada
Nabkuloana = nakuloana
[HASHTAG]#Huko[/HASHTAG] shule mlienda kusomea madem (in FF voice)
 
Acha maneno mzee.... Lete vitu... Namaanisha kuloana..

Toa mchango sasa
 
nunua ky mpake itakaa sawa tena inatreeeza inakua laiiiniiiii
 
Sasa matatizo yote yakwako ama....mara uke mara nguvu
 
km una tatizo la nguvu za kiume ww ndio chanzo cha mpenzi wako kua na uke mkavu...uwaga ina muathiri mwanamke kiasi flan tibu nguvu hizo mwanamke hana tatizo huyo....nguvu unakosa kwa sababu gani jibu hilo kwanza
 
Back
Top Bottom