Wakuu wa Nchi naomba kuuliza , kama mtu ana kisukari type 2, ambacho kilikuwa 19 akaweza kukicontroll mpaka 6.3, vipi nguvu Zake za kiume zitarudi normal? Na vipi kuhusu uzalishaji wa sperms utarudi kawaida? Thanks a lot.
I hope to hear from you soon guys.