Nguvu za kiume na diabetes "kisukari"

Nguvu za kiume na diabetes "kisukari"

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,111
Reaction score
2,781
Wakuu wa Nchi naomba kuuliza , kama mtu ana kisukari type 2, ambacho kilikuwa 19 akaweza kukicontroll mpaka 6.3, vipi nguvu Zake za kiume zitarudi normal? Na vipi kuhusu uzalishaji wa sperms utarudi kawaida? Thanks a lot.

I hope to hear from you soon guys.
 
Ngoja wataalum waje ila pole katika hilo..
 
Back
Top Bottom