yusuf57
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 322
- 665
Wakuu hivi mmewah kujiuliza n Kwann sahiv tatizo LA nguvu za kiume limekua gumzo...yan ukijifanya doctor wa nguvu za kiume nowadays unapiga sana hela....
..ukwel n kwamba hamna mwanaume aliyezaliwa hana nguvu za kiume .....
...life style yetu ndo inatuponza...panoja na baadh ya ulaji wa vyakula vyenye mafuta na wanga sana....na vitu vyenye sukari...hatunywi maji mengi na matunda....
..
Ukwel n kwamba watanzania wengi pesa zetu ndo zinatumaliza ....mtu ulitoka kijijini umezoea kula samaki chuku chuku na ugal tena dona ...ukija mjini ukiotea vichenji unabadilisha mfumo....chips yai...kuku wa kisasa ...mayai ya kisasa ..sembe...
...hapo ndo tunapofeli...
Kuna baadhi ya v2 vitakusaidia kuondokana na tatizo lako..
1.Fanya mazoez
2.kua na utamaduni wa kunywa maji mengi kabla ya show
3.kua na utamaduni wa kula ndizi mbivu /mihogo/Nazi/maziwa/karanga na mbegu za maboga
4.Acha kujichua (Nyeto)
5.Ondoa msongo wa mawazo
6.punguza kula vitu vyenye sukari
7.Kua na utamaduni wa kutafuna ginger yan tangawizi na kitunguu swaum...
Hayo n machache2 ...JFnawasilisha