Nguvu za kutamka 'nina mimba yako' unapata wapi?

Nguvu za kutamka 'nina mimba yako' unapata wapi?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Umepewa nauli, umelipwa kama short time unapata nguvu gani kusema nina mimba yako?

Halafu nina mimba yako nafanyaje? Unakujaje uko danger? Tembeeni na kinga siyo kujiachia kama mkasi.

1618899599519.png
 
Hutaki kuvuna maharage unamwaga mbegu na kufukia kabisa, purposically🤣
Alafu unakuja kulilia JF kwamba umeonewa.
 
Wavulana ni wengi kuliko wanaume.


Kuna mmoja alimwambia demu wake

Eti tatizo una **** nyepesi inabeba mimba ovyo.


Sijui mkipewaga taarifa ya mimba akili zinakuwaga kwenye boxer.
 
Wapitaji wakijikuta wamepokelewa mazima hapo ndio majibu kama hayo utayasikia.
Wavulana ni wengi kuliko wanaume.


Kuna mmoja alimwambia demu wake

Eti tatizo una **** nyepesi inabeba mimba ovyo.


Sijui mkipewaga taarifa ya mimba akili zinakuwaga kwenye boxer.
 
Wakati mgumu sana kupokea taarifa za "nina mimba yako"! Inachukua mda kuweka akili sawa...
 
Back
Top Bottom